Mzee Mwinyi akubali nchi inahitaji mabadiliko

matawi

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
2,052
242
Leo tbc katika kipindi maalumu cha saa moja unusu hadi mbili usiku imerushwa documentary moja ikiongelea utalii maendeleo na changamoto zake na baadhi ya viongozi wa mamlaka za wanyama pori wameeleza kazi ya kuwakamata majangili ni ngumu kwa sababu ya kuwepo mtandao unaohusisha watu wa ndani katika taasisi za wanyama pori . Mzee nwinyi amekiri kama mtu ameshindwa kazi anahitaji kuondolewa. Hii ni dalili njema ikiwa viongozi kama huyu mstaafu anapoikosoa serikali
 
Tatizo viongozi wetu wengi wakiwa na vyeo na nguvu hawafanyi chochote lakini wakisha kuwa wastaafu na kuwa viongozi ceremonial wanaongea sana ili hali hawana uwezo wa kufanya chochote. Saa nyingine najiuliza hawa viongozi wastaafu mambo wanayo yaongelea leo hawa kuyaona wakati wa uongozi wao?
 
Ukiwa katika sherehe na njaa zako utakula hata kama chakula kibovu, ukishiba na kuondoka ndio utaanza kusema kuwa sherehe ilikuwa nzuri ila chakula kilikuwa ovyo, lakini ulikula....
 
ukwaza sana kuhusu hao watu utapata wazimu. wachukulie kama dung of an old elephant
 
Leo tbc katika kipindi maalumu cha saa moja unusu hadi mbili usiku imerushwa documentary moja ikiongelea utalii maendeleo na changamoto zake na baadhi ya viongozi wa mamlaka za wanyama pori wameeleza kazi ya kuwakamata majangili ni ngumu kwa sababu ya kuwepo mtandao unaohusisha watu wa ndani katika taasisi za wanyama pori . Mzee nwinyi amekiri kama mtu ameshindwa kazi anahitaji kuondolewa. Hii ni dalili njema ikiwa viongozi kama huyu mstaafu anapoikosoa serikali
si mpaka mstaafu aseme, ni alama za nyakati. Kumbuka anaongea nje lakini kwenye vikao vya chama wote huwa wanaufyata
 
Back
Top Bottom