CHADEMA mmeshikwa, basi shikamana

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67
Hakuna ubishi CDM ni chama mbadala kitakachorudisha tumaini lililopotea baada ya 50yrs.Imebaki kazi moja tu ya kuwaamsha Wtz walioko vijijini,na kazi hii ianze haraka iwezekanavyo kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

CDM ikizoa vitongoji,mitaa na vijiji vingi kama sio vyote itakuwa ni dalili za mwisho za kukamilika safari ya kuelekea Magogoni.Wananchi wamewashika,nanyi shikamana.
 
Chadema wakiwa wamoja pale NMC leo, mikoa mingine itawaunga mkono. Shikamaneni wakuu na waliowaoga washikeni mkono msiwaache peke yao mtashinda!
 
Hakuna ubishi CDM ni chama mbadala kitakachorudisha tumaini lililopotea baada ya 50yrs.Imebaki kazi moja tu ya kuwaamsha Wtz walioko vijijini,na kazi hii ianze haraka iwezekanavyo kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

CDM ikizoa vitongoji,mitaa na vijiji vingi kama sio vyote itakuwa ni dalili za mwisho za kukamilika safari ya kuelekea Magogoni.Wananchi wamewashika,nanyi shikamana.
kirahisi kiasi hicho?
 
Kwa haya maisha magumu, mfumuko wa bei, hakuna ajira na imesababishwa na ufisadi, - basi watanzania wengi watajaa NMC kukesha.

ugumu wa maisha, ndo unasababisha watu waichukie ccm. Tatizo ccm wanaichukia JF na hawataki kukosolewa, wala kushauriwa.
 
Mkuu wazo lako ni zuri ila natoa changamoto sisi tunaotoa mawazo hai kama haya basi tuyamwagilie yasije kukauka kwa ukame,namaanisha tujitoe kusaidia kutoa elimu ya uraia na kusaidia kuimarika kwa chama,lakini pia tusaidie kufungua matawi na tuwaunge mkono kwa dhati na kwa vitendo viongozi wetu wa kitaifa kwenye harakati hizi,na tukijitokeza kwa wingi na wengine najua mna elimu itasaidia sana kwa miongoni mwetu mtakuwa viongozi hivyo mtasaidia kwenye ukombozi wa nchi hii.
 
Tunashukuru kwa maoni, ila hata wewe upo ndani na umetoa point nimekukubali kama vile naongea mimi, hongera tuchape mzigo tueneze sera watu waitambue na waijue Tanzania wajue utajiri wetu, sisi sio maskini hili linaniuma sana watu wachache ku hodhi mali za Tanzania
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom