Vipi tena huko Ndugumbi nasikia polisi wanapiga mafundi garage risasi? Salama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi tena huko Ndugumbi nasikia polisi wanapiga mafundi garage risasi? Salama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by everybody, Nov 8, 2011.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna habari nimeisikia hapa Clouds kwamba polisi wanawapiga mafundi garage risasi kuwataka wahame ndugumbi, kuna usalama huko?
   
 2. m

  migomo ya vyuo Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani hujui tanzania? ccm wamelewa na madaraka sasa wameamua kupiga na kuuwa tuu. waganga wa kiwete sasa wanataka kafara na hiyo ndiyo stail ya kutoa kafara sii unajua nchi yetu yaongozwa kwa vibuyu
   
Loading...