Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA [COLOR="#0000CD"]MAENDELEO – CHADEMA MKOA WA SINGDA TAMKO LA CHADEMA JUU YA UNYANYASWAJI WA HAKI YA KIDEMOKRASIA ANAYOFANYIWA MH.GODBLESS LEMA, KKIONGOZI WA UPINZANI NA...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Amini usiamini sikio la kufa halisikii dawa, chadema ya umbuka katika kutaka kushawishi uma ukae kwenye Mvua wiki moja. Wana Arusha wana Mapinduzi wasema no no no wakubali kutii amri halali ya...
0 Reactions
192 Replies
14K Views
'Nimeona niwashirikishe wanaJF makala hii ya ndugu Zitto Kabwe kuhusu Katiba ambayo itatoka kesho katika magazeti na ameisambaza kwa wadau mbalimbali nikiwemo mimi' Muswada wa Marekebisho ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hakuna shaka CCM inaharakishwa kujimaliza kwani chama hicho sasa hivi kiko katika kupigana a 2-front war – yaani vita ya kutoka pande mbili – ya kutoka ndani mwake (kupambana na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa wale mabush lawyers mimi nikiwa mmoja wao tungeomba ufafanuzi wa gharama ambayo taifa letu limeingia kwa shughuli nzima ya kumkaribisha prince charles.nataka kufanya mlinganisho ili tujue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii suala hili limekuwa likinipa taabu sana, inawezekanaje Rais kuondoka nchini wakati nchi yake ikiwa katika wakati fulani mgumu aidha kisiasa au kijamii. Raisi Kikwete mara baada tu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimesituka sana , ni mda sasa Wanasiasa wote wapo kimya kuhusu suala la Ushoga. Mimi Nilitegemea , Wataitisha maandamano kupinga Ushoga lakini Vyama vyote Vya siasa wapo kimya , wamewachia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi kwa muda mrefu sasa nimekua nikijiuliza ni kitugani mashirika ya Fedha na Nchi za magaharibi wakionacho Tanzania na sisi hatukioni, Mh. Jakaya Mrisho kikwete alipo kwenda Marekani hivi...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Mheshimiwa waziri mkuu kwa niaba ya wananchi ninaomba utupe msaada wako katika kutatua utata na mkanganyiko uliopo hapa. Kulitokea mitazamo tofauti kuhusu Zanzibar kama ni nchi au si nchi? Mpaka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau: Nilikuwa naumiza kichwa changu bure kwamba ilikuwaje hakimu yule wa Arusha alikataa kumtoa Lema mahabusu huku dhamana aliisha iweka wazi. Kumbe ni msukumo wa kisiasa kutoka kwa Mkuu wa...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
Wakati wa uchaguzi haramu wa umeya wa Arusha, polisi walishiriki kwa kulinda kikao kile batili, waliwanyanyasa sana mbunge lema na madiwani wa chadema hasa pale walipotaka kuhoji uhalali wa kile...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jinamizi la umeya bado linakiandama chama cha CHADEMA baada ya kuibuka mgogoro mwingine katika halmashauri mpya ya Kahama ambapo madiwani wa CHADEMA na viongozi wake wamegawanyika makundi mawili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaomba Wabunge wa Chadema kuachana na Kikao cha 5 kinachoendelea Hapa Dodoma na kuelekeza nguvu Arusha kwakuendeleza harakati na Juhudi zilizo anzishwa huko Arusha kwakushinikiza serikali...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Tuesday, 08 November 2011 21:33 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Habel Chidawali, Dodoma WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema bado kuna kazi ya kufanya katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuesday, 08 November 2011 22:13 0diggs digg Fina Lyimo, Moshi POLISI mkoani Kilimanjaro wamefanikiwa kukamata magari manane yakiwa yamesheheni sukari na mahindi, yakisafirisha kimagendo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Matukio ya jana na leo katika mji wa Ukombozi wa Arusha umeianika serikali ya CCM bila nguo mbele ya mgeni wao kutoka nchi tunakotembezea bakuli hali nchi yetu ni tajiri. Kikubwa zaidi...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Ndugu zangu mimi nadhani nchi pasipo usawa kwa wote sio nzuri hata kidogo, imani ni kitu kizuri na sio cha kuchezea hata kidogo na Tanzania tujivunie sana amani ambayo misingi yake imejengwa na...
4 Reactions
45 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo ameonya kuwa vyombo vya dola havitakubali kuwaacha baadhi ya watu kuigeuza Arusha sehemu isiyotawalika akisema kuanzia sasa, yeyote atakayejaribu kuvuruga...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
VIONGOZI na wanachama wa CCM wametakiwa kujibu mapigo dhidi ya kauli za wapinzani, zinazobeza mafanikio ya Chama na serikali katika kuwahudumia wananchi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, alitoa msimamo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Mimi nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Zitto, tangu alipoongoza mapinduzi ya kupindua serikali ya DARUSO mwaka 2002/2003 wakisaidiana na Ridhwan Kikwete na Omar Ilyas. Kipindi hicho nikiwa mmoja...
7 Reactions
453 Replies
42K Views
Back
Top Bottom