naulizia gharama za kumkaribisha prince charles nchini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naulizia gharama za kumkaribisha prince charles nchini.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by jingalao, Nov 9, 2011.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,263
  Likes Received: 10,448
  Trophy Points: 280
  kwa wale mabush lawyers mimi nikiwa mmoja wao tungeomba ufafanuzi wa gharama ambayo taifa letu limeingia kwa shughuli nzima ya kumkaribisha prince charles.nataka kufanya mlinganisho ili tujue tumetumia kiasi gani na tunategemea kufaidika kwa kiasi kipi kutokana na mualiko huu.tukijenga utamaduni wa kuulizana maswali ya msingi kama haya tutafanikiwa kujua ni jinsi gani tunaweza kutumia fedha kidogo tulizonazo kwa manufaa ya taifa letu.
  nawasilisha.
   
Loading...