Ushiriki wa polisi arusha kwenye uchaguzi haramu wa meya wa arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushiriki wa polisi arusha kwenye uchaguzi haramu wa meya wa arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AzimiolaArusha, Nov 9, 2011.

 1. A

  AzimiolaArusha Senior Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Wakati wa uchaguzi haramu wa umeya wa Arusha, polisi walishiriki kwa kulinda kikao kile batili, waliwanyanyasa sana mbunge lema na madiwani wa chadema hasa pale walipotaka kuhoji uhalali wa kile kikao na walitolewa nje tena huku madiwani wa ccm wakishangilia kwa kejeli na dharau!! mpaka leo bado polisi wanaendelea kushirikiana na kutetea ccm hata baada ya maamuzi halali ya mahakama baada ya baadhi ya madiwani wa cdm kufukuzwa!! polisi wanaendelea kuwanyanyasa wanachadema, hawafikirii kushinikiza serikali itatue mgogoro wa arusha, wameua watu, wanapiga watu, waache waendelee lakini waanze kusoma alama za nyakati kuwa hao wanaowatesa kuna siku watawapigia saluti na inawezekana kabisa wakajikuta wako pabaya!!!!!!!!!!!
   
Loading...