WanaJF,
Jeshi la polisi hapa Tanzania linaongozwa na nani ?
Wakuu wa mikoa ? wakuu wa wilaya ? au wakuu na maofisa wa jeshi hili ?
Wamepata mafunzo wapi? Kivukoni? Au vyuo vya Polisi?
Kazi...
Nikiamka asubuhi , napiga miayo na kujivuta vuta kupunguza uchovu wa kulala hoi usiku wa kuamkia leo. Naanza mishe za Mjini, namuita Brother abdallah dereva wa Taxi, Leo ananiambia bei...
Tutafakari kwa kina, nani alaumiwe katika suala zima la vita kati ya chadema na ccm huko arusha. Binafsi napenda tupate mtaalamu wa sheria humu atupe ufafanuzi bila hiana na asiwe kwenye magamba...
Ndugu zangu naandika hili kwa uchungu mkubwa kutokana natabia inayokua sasa kwa kasi kati yetu sisi watu tunayoitakia mema chama cha Chadema,tabia ya baadhi yetu kutoa maneno ya kejeli na matusi...
Wadau,
Kuna haja ya ya kuja na paln B au tuamue kuitekeleza plan A. JF kama great thinkers tujadili hili.
Mbowe ameongelea civil disobedience. Hivi tunatakiwa kutii kila kinachosemwa na polisi...
Wed, Nov 9th, 2011
Wed, Nov 9th, 2011| Tanzania
Tanga Regional Commissioner (RC), Ms Chiku Gallawa
The Tanga Regional Commissioner (RC), Ms Chiku Gallawa has ordered Kenyan land invaders...
Ndugu zangu,
Mama yangu mzazi enzi za usichana wake alisoma Middle School ya pale Mtaa Kichwele ( Sasa uhuru Street). shule hiyo ikaja kujulikana kama ' Uhuru Girls'.
Ni mmoja wa...
Nimetazama Nchi Nyingi zilizofanikiwa Kuuondoa Utawala Dharimu hapa Duniani Walitumia Njia Nyingi Mno Ambazo cmd kama wapo mafunzoni tu au tuseme wana west tu time
Bila kuwa na Jeshi lao no...
Kwakeli nimeona niwashirikishe woote mlio katika ukurasa huu wa watu wenye mawazo pevu!!!! Takribani wiki tatu zimepita sasa, tangu bwana NAPE kuja USA, na kutembelea katika state mbalimbali ili...
Natambua wote tunayaona yanayofanyika Mjini Arusha na kwingineko katika kuibinya demokrasia kwa Watanzania wazalendo. Hii inamaana gani pale viongozi wakuu wa Chama wanapokamatwa na kuwajibishwa...
Wanajf 2siwalaumu police bure kumbe nao wanachukizwa na vitendo vinavyoendelea Arusha! Mie kakangu ni polisi pale Arusha, ana nyota2 begani leo ka2ambie eti ni siku ya 3 hajalala nyumbani yupo...
Fikra,siasa na sera hizi zinazo tumiwa na viongozi na kuwaaminisha watanzania zitaifanya Tanzania ibaki maskini na tegemezi milele.
Leo nimekumbuka tangia nianze kusoma huko primary...
Naendelea kuwaletea mfululuzo wa kilichotokea katika viwanja vya NMC Arusha siku CDM ilipofanya mkutano wake na kupelekea Dr. W. Slaa na Tundu Lisu kukamatwa. Kiini cha mgogoro wote huo ni suala...
Kuna maneno mengi yanayosemwa kuhusu siasa..oh siasa mchezo mchafu, oh siasa hili. Kifupi mimi nlikuwa mmoja wa watu niliye mkubali jk ktk uchaguzi wa mwaka 2005. Japokuwa sikuwa na taarifa zake...
Bahati mbaya ya walio wengi wanajadili siasa bila kuwa na ufahamu wa siasa, na hivyo kubaki wakikubali matokeo ya mambo ya kisiasa na kujaribu kupinga yale mambo yaletayo matokezeo hayo...
Wana jamvi heshima mbele.
Naomba msaada kwa yeyote mwenye kuelewa nini mantiki ya kutumia pesa za walipa kodi kusherehekea miaka hamsini ya uhuru inatufaidisha nini na kuongeza nini...
Hazina kama hii ndiyo inayohitajika CDM na Tanzania kwa ujumla. Aliyekuwa mgombea ubunge kwa jimbo la Arumeru amelaani vikali tabia ya chuki dhidi ya CDM iliyoonyweshwa na RC mpya wa Arusha...
Jamani naona nchi yetu inatoka kwenye phase ya kamati kwa kamati sasa inaelekea Maandamano kwa maandamano, ushauri wangu viongozi wa aina zote wenye ushawishi katika Taifa letu ingilieni kati...
itakuwa ndiyo mwisho wa dunia??
miaka 5 tena na ccm itakuwaje?
itabidi tuachane na ushabiki wa siasa tuendelee na shughuli zetu tuwapishe ccm watawale milele
nasema hivi kwa sababu mashabiki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.