Hivi kwa nini wanasiasa hawaitishi maandamano kupinga ushoga????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini wanasiasa hawaitishi maandamano kupinga ushoga?????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwamakula, Nov 9, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nimesituka sana , ni mda sasa Wanasiasa wote wapo kimya kuhusu suala la Ushoga.

  Mimi Nilitegemea , Wataitisha maandamano kupinga Ushoga lakini Vyama vyote Vya siasa wapo kimya , wamewachia viongozi wa dini!!!

  Chanzo cha Kupewa Mashart ya Ushoga ni matokeo ya safari nyingi za omba omba nje ya nchi ambapo mda wote viongozi wetu wanatumia gharama kubwa za fedha za kigeni.
  Suala la Ushoga ni la kisiasa na sio la kidini.!!!


  Wakati wa malipo ya Dowans ni rahisi sana ndani ya CCM kukawa na matamko Mengi bila kujali wengine wametangulia kuyatoa !!!

  Matamko yaliyotolewa wakati wa mawazo ya katiba mpya , mpaka voingozi waastafu weanajitokeza lakini leo CUF,CHADEMA, TLP,CCM, wote wapo kimya.!!!

  Mimi napata wasiwasi mkubwa na Ukimya huu licha ya kuuzoe sana kwa Rais Kikwete!!!


   
Loading...