CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchaga 25, Nov 8, 2011.

 1. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Amini usiamini sikio la kufa halisikii dawa, chadema ya umbuka katika kutaka kushawishi uma ukae kwenye Mvua wiki moja. Wana Arusha wana Mapinduzi wasema no no no wakubali kutii amri halali ya serikali na kukubali kwenda kuendelea na ujenzi wa Taifa.

  Sheria kufuata mkondo hivi punde kwa kuwakamata wahusika na kuwapeleka kunako husika kwa kuchochea uvunjifu wa amani na huko kutakuwa na kusaga meno
   
 2. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wa Arusha wana akili sana. Hawataki upuuzi wa viongozi wa vyama uchwara. Ni wachapa kazi.
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Ina maana we kiziwi na kipofu, husikii na wala huoni (hata picha)....kama wanaArusha walisema 'no no no' kukaa kwenye viwanja vya NMC na mvua ile, mlienda kuwatimua wa nini na kina nani alfajiri yote ile?!
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Sijui umetoka dunia gani!au ndo kuhongwa tena?mwana mageuzi hawezi kata tamaa hata siku moja!nyang'au wewe
   
 5. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii si msingekubali kuondoka kwenye hivyo viwanja vya NMC kama mko tayari kufia nchi wehu tu.. unatishia kujamba wakati unaugua kuharisha....hahaha nijichekee mie.
   
 6. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka Daffi khae jamaa hawa ni wanafiki tu hawana uzalendo wa dhati wanadanganya tu wao wanasindikizwa kwa heshima wenzao wanpigwa virungu vya vichwa ..... Mabadiliko ya nchi hayaongozwi na viongozi wa siasa. DR slaa kapoteza muelekeo sasa utasikia yupo NCCR kubadilishana na mbatia
   
 7. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Loooo! Huyu ni kiongozi gani, kila abunilo lashindikana si AJIUZULU.

  nINGEKUWA mH sLAA ningejiuzulu mara moja, lakini huyu dikiteta hata kwa bunduki hajiuzulu. Inabidi ashikwe yeye na kuswekwa ndani.
   
 8. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Nasikia waliwapa 30 elfu kwa kila muandamanaji.
   
 9. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280

  Waandishi wa gazeti la Uhuru bwana msijisahau. Sasa kesho utaandika nini??
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Yale mabomu yalikuwa yanawatanya nani? Kama kweli alishindwa kushawishi umma, kwa nini mhangaika kusambaratisha watu? Ondokeni kwenye viwanja vya NMC then ndio uje uandike 'process report'.

   
 11. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,506
  Likes Received: 2,054
  Trophy Points: 280
  hivi wewe una matatzo gani.?shida zote tunazopata waTZ hauzioni mpaka leo unaendlea kuisapot CCM..kama wewe n mtoto wa kiume badlika mwanangu....sio ishu..
   
 12. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe kiboko man. kula tana
   
 13. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Up kunafanyakazi,tupe source kwanza tukujadili vizuri.
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mchaga25 kwa post hii unazidi kujishusha hadhi na utu wako kama mtanzania ambaye kwangu mimi nilidhani una uchungu nayo,sitoshangaa kuona watu kama wewe wakijaribu kupindisha kila kwenye ukweli paonekane ni uongo,ila kumbuka siku zote kuwa mwisho wa haya yote mnayoshabikia unakaribia.
   
 15. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KWELI JAMII YA WATZ NI YA KUJENGA UPYA,wanasikia lkn hawaelewi,wanashuhudia lkn hawaoni...kizazi gani hiki?wanamapinduz wa kweli ndio wapo jikoni wanapikwa tayari kwa kuijenga nchi mpya...tym will tell
   
 16. I

  ISense Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hujui sheria ndo unaweza ukaona cdm wanamake sense, lakini ni upuuzi tu, eti Lema akatae kutoka ndani halafu cdm mtake atoke bila ya kufuata taratibu!? Si akae tu ndani kama alivotaka..mijitu mingine mikameruni tu...mmmxxxiiiiuuuu !
   
 17. j

  jigoku JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Mchaga au Mwita 25 narudia kauli yangu kama ingelikuwa kila unapo-post kitu humu tungekuwa tunaonekana huenda tusingekuwa tunahangaika na watu kama ninyi.lakini aibu unayojiambisha bila macho yetu kukushuhudia ndio maana una kuwa na nguvu ya kuandika utumbo na upuuzi humu kwenye jukwaa,hakika tungelikuwa tunakuona live na macho yako yanakutana na yatu wengine humu jamnvini wala usingerudia kutumia masaburi kama hivi,hata hivyo watu kama ninyi sijajua kama mnahitaji maombezi au mapinduzi ya kifkra.
  Kwa kuwa njaa ni mbaya basi komaa undelee kuganga njaa mkuu.lakini unasikitisha kuonyesha utahira wako katika Taifa hili na hasa kile unachoonekana kukitetea.
   
 18. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  asante kwa taarifa. Nalog off
   
 19. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Mtajidanganya mpaka mtakapo shikwa kitoto na watoto wadogo kama Gaddafi alivyofanywa ndipo mtakapojua mko sawa au mmelala fo fo fo
   
 20. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Una laana kali sana..nakuonea huruma maana hata kizazi chako umeshakiharibu
   
Loading...