Uroho wa madaraka waendelea kuitafuna chadema

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Jinamizi la umeya bado linakiandama chama cha CHADEMA baada ya kuibuka mgogoro mwingine katika halmashauri mpya ya Kahama ambapo madiwani wa CHADEMA na viongozi wake wamegawanyika makundi mawili hali iliyosababisha wachapane makonde katika kikao.

makundi hayo ni ya aliyekuwa mgombea ubunge Charles Lubala na kundi la mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Juma Protas lilitangaza kuwafukuza uanachama Charles Lubala, Annastazia Manyanda na justina kimisha. chanzo cha mgogoro huo ni umeya

Nawasilisha kwenu.
 
hilo ni sakata muendelezo wa masakata ya umeya katika halmashauri mbalimbali
 
Ajabu iko wapi tumeshuhudia mgogoro mkubwa wa sakata la umeya katika halmashauri ya jiji la Arusha lililosababisha baadhi ya madiwani wa CHADEMA kufukuzwa katika chama ni kawaida yao hiyo ndio sera yao
 
kuna madhambi baadhi ya viongozi wanapaswa kutubu kama vile dhambi ya.......................
 
Jinamizi la umeya bado linakiandama chama cha CHADEMA baada ya kuibuka mgogoro mwingine katika halmashauri mpya ya Kahama ambapo madiwani wa CHADEMA na viongozi wake wamegawanyika makundi mawili hali iliyosababisha wachapane makonde katika kikao.

makundi hayo ni ya aliyekuwa mgombea ubunge Charles Lubala na kundi la mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Juma Protas lilitangaza kuwafukuza uanachama Charles Lubala, Annastazia Manyanda na justina kimisha. chanzo cha mgogoro huo ni umeya

Nawasilisha kwenu.

hamna jipya hapa...pumba zilezile na watu wale wale.
 
Badala ya kutatua matatizo ya kwako, wewe tangu asubuhi hadi jioni unachungulia kwa wenzako kukoje.... mwisho mtaitwa wazee wa chabo's - kazi mnayo magamba's.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom