Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

Status
Not open for further replies.

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,783
Mimi nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Zitto, tangu alipoongoza mapinduzi ya kupindua serikali ya DARUSO mwaka 2002/2003 wakisaidiana na Ridhwan Kikwete na Omar Ilyas. Kipindi hicho nikiwa mmoja wa mawaziri wa serikali, ambayo ilipona kupinduliwa. Na tumekuwa wote ndani ya bunge la UDSM-USRC

Mimi personally nimekuwa muwazi sana na mkweli katika kila kitu kinacholigusa taifa hili na hasa uhuru wa mawazo na maoni ambao umedhihirika kuwa watanzania wengi sio kuwa hawana, bali huwa wepesi sana kuamini mambo na ni waoga kuonekana wanapingana na hali iliyopo.

Mtazamo huu umenifanya nimpende Zitto na JF members wowote wale ambo huwa wanapenda kufikiria nje ya box, au another direction/angle. Zitto amekuwa akinifurahisha kwa kuleta changamoto za kuleta mawazo tofauti na kile ambacho wengi huwa wanafikiria.

Zitto ni kweli anapenda sifa, kama binadamu mwingine yeyote yule, ila unapotaka sifa kwa kusimamia haki na ukweli na hasa unapopigania haki basi sifa hii ni sifa timilifu na inapendeza. Omar Ilyas naye alikuwa mmoja wao wa wanaopenda sifa ila kwa sasa naona amekua kidogo, nadhani Salim A Salim amemkuza.

Si nia yangu niwaharibie hawa jamaa , ila ni hali yangu kueleza ninachowaza baada ya kuwafuatilia hawa watu tangu enzi hizo. Sijajua status ya Omar Ilyas kwenye issue nzima za udini, siwezi kumtuhumu, personally nimemuona ni mtu mzuri tu na anayependa wote pasi kujali udini ila bado ni rafiki wa Zitto!

Tuendelee: Role model wa Zitto ni Salim A. Salim, rais bora kwake yeye ni Kikwete, MD bora aliyewahi kumsema yeye ni Rashid Idrisa yule wa TANESCO.

Tie, cord, umoja, Urafiki wa Zitto, Ridhwan, Omar Ilyas ni mkubwa sana kuliko maelezo, hili group lililotaka kuipindua serikali ya Kayombo-DARUSO, ili wao wapate madaraka si tu ni la hatari bali la kuangaliwa sana. Ridhwan amekuwa akijitetea sana yeye anataka ku-practise sheria hili hali kutaka uongozi amekuwa akitamani tangu siku nyingi sana.

Ukiwa rafiki na Ridhwan umekuwa rafiki wa Kikwete!!! Huwezi kuwa adui wa JK ukawa rafiki wa Ridhwan, JK si tu anampenda Ridhwan kama motto, bali kama mwanaCCM mwenzie aliye tayari kulinda interest zao.

Si ajabu Zitto kuwa alikuwa mmoja wa wanakamati ya bunge ya kuchunguza madini, maana JK anampenda Zitto, ambaye ni rafiki wa Ridhwan!

Alichotamka Juzi ni mwendelezo wa kumuonyesha JK kuwa yuko ‘NAYE' na yuko mbali na chadema na kuwa yeye hakuwa na mawazo kama wanachadema wengine!!!. Hakuishia hapo tu bali alisema JK amefanya mengi Kigoma! Hivyo hakuona sababu ya kutoka nje ya bunge, kwa hiyo hakwenda kabisa, Huu ujumbe haukuwa kwa wananchi, ulikuwa unaenda kwa JK rafiki yake! Hata kama JK kafanya mambo mengi huko jimboni kwake Kigoma ni wajibu wake kama rais na haikuwa zawadi.

Kilichonifanya nijiulize je what makes Zitto na JK kuwa marafiki? Je Zitto na JK walikuwa wanajuana kabla ya JK kuwa rais? Definitely Yes!

Je swali gumu na baya ambalo halina ushahidi ni je Zitto kuwa inclined kwa JK, Salim na kuwapenda baadhi ya viongozi wa kiislam je ni mdini?..........I mean chunguzeni hili. May be not! Kindly don't conclude! What Salim teaches Zito?? Salim is CCM, is Salim and JK close friends? Cause Ommy and Zitto are close friends, Ooh! Ommy ni personal assistant wa Salim, Nauliza Kama Ridh, Zitto, Ommy ni marafiki then Salim and JK ni maadui? Find out please. However, we all know JK ni mdini, maana alianza harakati za udini tangu akiwa UDSM miaka hiyo….na hili fuatilieni

Nani anayejua Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto na alipata tender ya barabara ku-supply kokoto? Is he defending his interest indirectly?

Au ni kuwa ni great thinker ambaye anaishi kwa falsafa zake ambazo hatuzijui! Je mnafikiri Zitto kuwaambia waandishi wa habari yaliyojiri ndani ya chadema alikuwa hajui watu watamrudi? Who is greater to him? JK, wananchi wake Kigoma, mali au?

I mean we should be careful na watu kama Zitto yes they are bright, mmh! But they might be dangerous for the opposition existence. But we should examine him carefully and not judge him. Nimegusia tu swala la uislam maana mpaka leo kuna baadhi ya waislamu wanaofikiri kuwa wanaiweza kuigawa nchi hii kidini, na kuna wakristo wanaofikiri wanaweza kuigawa nchi hii kidini.

That's bringing another bitter question how far do we believe these opposition leaders? I mean all!

That said, I am just thinking
 
zito ni mtu hatari sana sana,na hili linafahamika tokea muda mrefu tu,siyo mtu wa kumuamini hata kidogo.
 
Ni mengi umeongea mkuu....... kweli kazi upo. That's why nasema watu hawa hawewezi kututetea sisi wananchi inabidi tuendelee kuwabana na kuwachunguza....... Wakiharibu tusisite kuwabana
 
  1. Kumbikumbi akikalibia kufa.......
  2. Ngoma ikivuma saana.................
  3. La kuvunda.....................
  4. Sikio la kufa.............................
 
Mimi nimekuwa nikimfuatilia mheshimiwa Zito, tangu alipoongoza mapinduzi ya kupindua serikali ya DARUSO mwaka 2002/2003 wakisaidiana na Ridhwan Kikwete na OmarLyas. Kipindi hicho nikiwa mmoja wa mawaziri wa serikali, ambayo ilipona kupinduliwa. Na tumekuwa wote ndani ya bunge la UDSM-USRC.....Alichotamka Juzi ni mwendelezo wa kumuonyesha JK kuwa yuko ‘NAYE' na yuko mbali na chadema na kuwa yeye hakuwa na mawazo kama wanachadema wengine!!!. Hakuishia hapo tu bali alisema JK amefanya mengi Kigoma! Hivyo hakuona sababu ya kutoka nje ya bunge, kwa hiyo hakwenda kabisa, Huu ujumbe haukuwa kwa wananchi, ulikuwa unaenda kwa JK rafiki yake! Hata kama JK kafanya mambo mengi huko jimboni kwake Kigoma ni wajibu wake kama rais na haikuwa zawadi. [/FONT][/SIZE][/COLOR][/B]

Kwa hayo yenye red, nakubaliana nawe kwa sababu ktk hali ya kawaida, hakukuwepo na sababu za msingi or very pressing reasons za kumfanya akajieleze mbele ya vyombo vya habari.
Lakini alifanya hivyo (alienda ktk vyombo vya habari); hii inaweza kuelezea hilo unalolisema ... ie kumpelekea JK ujumbe, kwamba hayupo pamoja na wana CDM ktk yale walioamua kuyafanya.
 
hili group lililotaka kuipindua serikali ya Kayombo-DARUSO, ili wao wapate madaraka si tu ni la hatari bali la kuangaliwa sana.

Hivi yupo wapi mtu huyu? pamoja na udhaifu wake kama binadamu lakini nilikuwa naukubali sana uwezo wake wa kujenga hoja na kulisha "spirit" kueleka kwenye lengo husika.
 
I have always known that Zitto is fishy. As street talk Zitto>>the Late Amina C + JK
 
Mkuu hongera, unefanya analysis nzuri.. may be now we should hear another side of the story from Zito himself...
 
Mkulu umelonga, Mwenye masikio asikie great thinker anavyosema, real Zitto hana muda mwingi kuhama CHADEMA, sikuona mchango wake kivile kwenye kampeni za mwaka huu, labda ni huo uswahiba wake na Riz, JK na Ommy na pia fedha alizo nazo maana jamaa sasa anamiliki Hummer si mchezo.Karibuni ugali matembele maana ishu hizi zimenitia njaa, bora nile kisha nikamate rushwa kwa raia hapa angalau siku ziende.:teeth:
 
its about time before the realy enemy is unmasked..!!!!but sijaona uhusiona wa Zito na Uislam, mkuu you must be careful na udini!!!!!!!
 
Kweli mkuu, hapa kuna "kazi ya nyumbani" tunatakiwa kuifanya.
Wakati fulani mh.zitto alisema serikali ya jk haikujenga barabara ya kwanza ya lami mkoani kigoma ndani ya jimbo lake kwa bahati mbaya.
sasa ukiunganisha na matukio mengine kama ulivyoyataja, kuna ukweli unaanza kuonekana ndani yake.
 
Hii kweli imetugusa tupeni muda tukalifanyie kazi maana tunamfahamu kiasi fulani lakini kwa undani sana, huyu zitto tutampa adabu muda si mrefu.
 
Mkuu hongera, unefanya analysis nzuri.. may be now we should hear another side of the story from Zito himself...
Zito amesema anangoja adhabu. Hi maana yake nini? Soma katikati ya mistari. huyu jamaa naona anataka kuwa kumbikumbi, ataliwa na kunguru sasa hivi.
 
Status
Not open for further replies.
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom