CCM inaharakishwa kumalizwa na vita vya pande mbili - makundi yake na Chadema

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Hakuna shaka CCM inaharakishwa kujimaliza kwani chama hicho sasa hivi kiko katika kupigana a 2-front war – yaani vita ya kutoka pande mbili – ya kutoka ndani mwake (kupambana na makundi yake) na kutoka nje, yaani kupambana na Chadema chama ambacho kila kukicha kinakitesa chama hicho tawala kwa kufichua uozo ndani yake.

Kwa mwenendo huu nadhani chama hicho hakitafika 2015 kwani hakuna kabisa dalili ya kujirekebisha – mkuu wao JK hana uwezo wa kukisimamia. Hawezi kuwakemea mafisadi kwani yeye mwenyewe ndiyo fisadi namba moja.
 
Nadhani ni 3-front war. Front ya tatu ni wafanyakazi wa serikalini wanaovujisha taarifa za siri za wizi na ufisadi wa wakuu wa serikali ya CCM kwenda vyombo vya habari au upinzani, hususan CDM.
 
4[SUP]th[/SUP] front war ni uchumi wa nchi.
a. Hali ngumu ya maisha, serikali haina fedha inaona aibu kutangaza kuwa imefilisika.

b. Kutembeza bakuli kwa kuomba misaada kwa maba.ha.sha huku watawala wetu wanajifanya hawataki ushoga lakini misaada wanaitaka. Hatujui hatima yake maana mikataba mingi katika nchi hii husainiwa kwa siri. Na tusisahau pia mkuu wa kaya aliwahi kukiri kwamba kutembeza kwake bakuli ndiko kunatufanya sisi tu-survive.
c. Thamani ya shilingi inazidi kuporomoka hatima yake haijulikani.
d. Wanaacha kutekeleza ahadi lukuki walizoahidi wananchi maisha bora wanahangaika na Lema, Mbowe, Slaa, Lissu, Regia nk. hadi 2015 kutakapopambazuka watajikuta bado wamejifunika shuka na ndoto za CDM.
Yetu macho ingawa wengine hawaoni. Ee Mungu wetu mfalme wa Amani wewe ndiye utakayehukumu kwa Haki.
 
QUOTE=Zak Malang;2787454]
Nadhani ni 3-front war. Front ya tatu ni wafanyakazi wa serikalini wanaovujisha taarifa za siri za wizi na ufisadi wa wakuu wa serikali ya CCM kwenda vyombo vya habari au upinzani, hususan CDM.
[/QUOTE]

4[SUP]th[/SUP] front war ni uchumi wa nchi.
a. Hali ngumu ya maisha, serikali haina fedha inaona aibu kutangaza kuwa imefilisika.

b. Kutembeza bakuli kwa kuomba misaada kwa maba.ha.sha huku watawala wetu wanajifanya hawataki ushoga lakini misaada wanaitaka. Hatujui hatima yake maana mikataba mingi katika nchi hii husainiwa kwa siri. Na tusisahau pia mkuu wa kaya aliwahi kukiri kwamba kutembeza kwake bakuli ndiko kunatufanya sisi tu-survive.
c. Thamani ya shilingi inazidi kuporomoka hatima yake haijulikani.
d. Wanaacha kutekeleza ahadi lukuki walizoahidi wananchi maisha bora wanahangaika na Lema, Mbowe, Slaa, Lissu, Regia nk. hadi 2015 kutakapopambazuka watajikuta bado wamejifunika shuka na ndoto za CDM.
Yetu macho ingawa wengine hawaoni. Ee Mungu wetu mfalme wa Amani wewe ndiye utakayehukumu kwa Haki.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom