Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa zilizonifikia ni kuwa M/Kiti wa Cdm Freeman Mbowe atajisalimisha kwa dola ya magamba leo baada ya kuzungumza na waandishi wa habari katika eneo la siri. Awali inadaiwa alitaka kuongea...
10 Reactions
314 Replies
30K Views
Ninaomba nisieleweke vibaya jamani. Huu ni mnakasha kama minakasha mingine tu. Kuna minakasha zaidi ya milioni mbili hapa JF. Basi tuongeze na huu hapa. Kwamba, Aga Khan Hospital, moja ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
MUSWADA wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba wa mwaka 2011 unatarajiwa kusomwa bungeni kwa mara ya pili wiki ijayo na kujadiliwa kwa siku tatu mfululizo. Pamoja na hilo, hoja binafsi za wabunge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli wananchi wa Tanganyika na Zanzibar wanalalamikia muungano hauna tija kwao wao. Asa inakuwaje tunaingia katika katiba mpya viongozi wanachimba mkwara kuwa Hoja ya Kuvunja Muungano hata kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabunge wang’aka Wabunge jana waligeuka mbogo wakiitaka Ofisi ya Spika, kuchukua hatua kukomesha kile walichokiita unyanyasaji unaofanywa dhidi yao na polisi katika matukio ya kuwakamata...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya gazeti la Tanzania Daima kuandika habari ya kupotea kwa Askofu wa Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship, Mulilenge Mkombo na polisi kukanusha, mkewe...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa kuangalia mwenendo wa siasa katika nchi yetu, hakuna uhakika kama wanasiasa katika nchi yetu wanajadiliwa kwa usawa. Je kuna usawa? Kama upo ni kwa namna gani upo? Na kama haupo ni kwa nini na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wazee wetu wana kila sababu ya kusherehekea maendelea ya tangu kupatikana kwa uhuru yani miaka 50 iliyopita, mfano ongezeko la miundo mbinu, nyenzo, mawasiliano, nk, lakini Tanzania inapaswa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Maandamano yoyote ambayo yamepata kufanikiwa ni yale ambayo hayasubiri kupata kibali cha polisi.Ni lazima tufahamu kuwa polisi nao wanataka kuandamana lakini kutokana na miiko ya kazi zao hawawezi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nani wakujibu mapigo?.........Nilitaka kujua tuu kama Mh Mizengo kayanza peter Pinda alikuwa akimaanisha nini kuhusu kujibu mapigo? Je ni polisi kujibu mapigo au ni wanaachama wa ccm maslahi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule mtoto wa malikia ameshindwa kuingia jijini Arusha na kuishia Arumeru, na hii ni baada ya wapelelezi wake waliyokuwa mwezi mmoja kabla ya safari yake hapa nchini, wapelelezi hawo wamemtonya...
7 Reactions
75 Replies
9K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbrod Slaa na mkurugenzi wa sheria wa chama hicho Tundu Lissu na wafuasi wengine kumi wa chama hicho wanafikishwa mahakamani muda mfupi ujao jijini Arusha. Kuna hatari...
2 Reactions
218 Replies
20K Views
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya M.Kiti wa CDM taifa ni kuwa leo hakutakuwa na maandamano kama ilivyotangazwa awali hapo jana. Hii ni kutokana namazungumzo ambayo yameanza tangu jana huko...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo amefikishwa kwny mahakama ya hakimu mkaz arusha kujb tuhuma znazomkabl.. Source ; e.a radio supermix
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumewaona Polisi mala nyingi mno wakikataza na kuzuia maandamano na mikutano kwa sababu za KIINTELIJENSIA sasa! kinacho nishangaza hapo kama mmeambiwa hizo taalifa za kiintelijensia mmezipata kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF naleta kwenu hii maada na muone maafisa Uhamiaji wa Tanzania tulivyo wa ajaabu.Kisa ni kama hivi.Mtu anaenda Ubalozi wa Tanzania kama vile Marekani anataka kuja Tanzania kufanya...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
hayo yamesemwa na Mbunge wa chadema Mh. Sylvester Kasulumbai wakati wakimpongeza mgombea ubunge wa Igunga bwana Kashindye kwa kufanya vizuri kwenye uchaguzi ulioisha hivi karibuni huko Igunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaukumbi, Tumetoka Mbali tangu mchonga mpaka kijana wa kikwere, hebu tuwaweke kwenye mizani halafu tuone uli mwimbo wa mwimbaji wa kizazi kipya "afadhali ya jana kila kukicha"
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kinachojiri hivi sasa hasa katika Jiji la Arusha ni matunda ya usanii uliotukuka wa Chama cha Mapinduzi,CCM.Wenye chama hicho wamejisahau. Wamesahau kuwa wale watu wa Tanganyika si hawa wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TUESDAY, 08 NOVEMBER 2011 20:02 UHURUNEWSROOM VIONGOZI na wanachama wa CCM wametakiwa kujibu mapigo dhidi ya kauli za wapinzani, zinazobeza mafanikio ya Chama na serikali katika kuwahudumia...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Back
Top Bottom