Joshua amtumia salamu RC Arusha, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joshua amtumia salamu RC Arusha,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Losambo, Nov 9, 2011.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hazina kama hii ndiyo inayohitajika CDM na Tanzania kwa ujumla. Aliyekuwa mgombea ubunge kwa jimbo la Arumeru amelaani vikali tabia ya chuki dhidi ya CDM iliyoonyweshwa na RC mpya wa Arusha.
  Amelani pia vikali juu ya viongozi wa serikali hasa jeshi la polisi kutumika kisiasa yaani kwa maslahi ya chama tawala. Hayo yote aliyasema katika viunga vya uwanja wa NMC Arusha ambapo chama Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilifanya mkutano.  Nawasilisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakuu kutokana na uchanga wangu nilifikiri nitapata maoni mengi juu ya Ndg Joshua alichokisema. Natumaini hicho ndicho kilio cha watu wengi hususani vyama vya upinzani.
  Nazidi kuwataka maoni yenu.
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Du. kazi kweli kweli. haya mambo yatatuingiza vitani jamani.
  mi nilidhani Mkandamizaji mkuu wa Democrasia ni Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya.
  Kumbe na Jeshi la Polisi, Mahakama na Serikali vinashiriki kwa kiwango kikubwa namna hii.

  Watu watakuwa desperate na kureact vibaya sana muda si mrefu, Namuomba Mwenyezi
  Mungu hili lipishe haraka kwa salama.
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mahakama kama mhimili wa dola karibu kunyang'anywa nguvu na heshima yake na wanasiasa, hali inatisha. Hakimu anakataa kusaini Removal Order wakati huo huo RC alionekana mahakami na kukiri lakini alikwenda kumsalia jaji mkuu mahakamani sijui hajui hotel aliyofikia!!!!
   
 5. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mie simo kwa haya.....!
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Duh, sipati 2015 itakuwaje!! Nahisi wizi wa kura wanaofanya chama fulani ndo itakuwa vita! hkakuna kijana aliyetaryari kuona upuuzi ukiendelea nchini chini ya magamba!
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu unaaribu mada, maana hapa unajiandaa kupiga mtu ban


  There are currently 54 users browsing this thread. (12 members and 42 guests)
   
 8. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyu RC wa Arusha na Zuberi ndio chanzo cha vurugu Arusha. Waondoke haraka kabla mabaya zaidi hayajatokea. Kikwete na Serikali yake itambue hilo. Sehemu yoyote Duniani hakuna nguvu kubwa kuliko ya umma.
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Serikali hilo hailioni na Zuberi hawezi kuhama kwa sababu kufanya hivyo ni kuipa nguvu CDM na kuwatishia viongozi wengine wa serikali watakaokuja. Ikiwa ndiyi hivyo basi jeshi la polisi liache kutumika kisiasa hakutakuwa na shida.
   
 10. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #10
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tunakaribia kufika,safari ilikuwa ndefu sana......Asante mungu kwa kutufikisha;viva CHADEMA
   
 11. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe unajua maana ya RC? au kwa sababu unajua herufi ni kuandika tu. Tangu lini Zuberi akawa RC. Bila shaka wewe ni zero. bora kusoma post za wenzako kuliko kuandika utumbo.
   
 12. Meking

  Meking JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Polisi wanafanyaje kazi kisiasa? Katika ujumbe wake Mbowe amesema kuwa huwa wanakiuka "civil obedience"
  Sasa wawaache tu eti kwa sababu wakiwakamata watakuwa wanatekeleza majukumu ya kisiasa?
  Hivi kukamata wahalifu ni majukumu ya kisiasa?!
  Hivi tena vituko au "uendawazimu" kama anavyosema mwenyewe...
   
 13. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #13
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,263
  Likes Received: 10,455
  Trophy Points: 280
  RC kabadilishwa,RPC vile vile.bado tunasema chanzo cha vurugu ni polisi na mkuu wa mkoa?hebu fikiri kidogo kabla ya kupost.
   
 14. m

  maskin Member

  #14
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  mkuu mbona unakuwa mkali mwenzio DASA hajakosea hujasoma vizuri alichoandika kandika RC NA ZUBERI sioni kosa hapo au umempania kwa alichoandika ​
   
 15. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #15
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Mkuu mbona unajidharirisha mwenyewe? Hebu soma tena post yake hapa chini na kuonesha uungwana muombe msamaha maana umetukana mno

  By DASA [​IMG]
  Huyu RC wa Arusha na Zuberi ndio chanzo cha vurugu Arusha. Waondoke haraka kabla mabaya zaidi hayajatokea. Kikwete na Serikali yake itambue hilo. Sehemu yoyote Duniani hakuna nguvu kubwa kuliko ya umma.
   
 16. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #16
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Mkuu Wa Mkoa na Zuberi wakiondoka wala hautasikia fujo, utasikia vitu vidogo vidogo tu. Waondoke hao waiache Arusha yetu salama.

  Hongera Kamanda Joshua Nassari
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  we ndo mchemkaji! Hujamwelewa mwenzako
   
 18. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Usikurupuke kumsahihisha mwenzako. Wewe ndiyo umechemka DASA ameandika RC wa Arusha na Zuberi, sasa hapo unalalama nini?
   
 19. k

  kalokolaVIII JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wakati bado ninaishi Tanzania internet connection haikuwa so capillary na wapumbavu kama wewe walikuwa hawajulikani nje ya vijiwe walipokuwa wanamwaga upupu wao - sasa kuna internet as a result upumbavu haujui mipaka - mpaka walio mbali na wewe sasa wanajua kuwa umedata!!! Muombe jamaa msamaha kama kweli una akili na acha kukurupuka, by the way hata husipoandika utumbo wako nape ataendelea kukulipa - au anakulipa per posting???
   
 20. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa kutumia akili ya kawaida nani mchemfu hapo?
   
Loading...