ItakuwajeChadema wakiwa na Jeshi lao watapa Heshima? Kuchukua Nchi Si Kihivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ItakuwajeChadema wakiwa na Jeshi lao watapa Heshima? Kuchukua Nchi Si Kihivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duduwasha, Nov 9, 2011.

 1. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 2,172
  Trophy Points: 280
  Nimetazama Nchi Nyingi zilizofanikiwa Kuuondoa Utawala Dharimu hapa Duniani Walitumia Njia Nyingi Mno Ambazo cmd kama wapo mafunzoni tu au tuseme wana west tu time

  Bila kuwa na Jeshi lao no Heshima kwani wanayofanyiwa ki mtazamo wa kawaida ni kukoseana Heshima na uvunjaji wa Heshima
  Ni kweli Nchi ipo hoi kiuongozi na hili halifichiki hata popote.

  Kwa Mwenzo huu Damu ikimwagika ndio kidogo macho ya wakuu wa Dunia watatokeza kujua kunani tena Tanzania yenye Amani ya kwenye Maandishi nini kinaendelea na Selikari yetu inavyoogopa hao majamaa watasema tutayamaliza na hakutatokea tena hala kama hii japo inaendelea tu.

  Kuna watu hawatakiwi kuwa viongozi katika nchi hii haswa wale waio jali kitu ndio haya matatizo yanajitokeza na hayato isha kwa mwendo huu...


  VIONGOZI WEKENI NCHI SAWA ITAWALIKE
   
 2. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jeshi la CDM ni wananchi wenyewe. Popote duniani hakuna nguvu kubwa kama ya umma. Tatizo ni watantania wachache sana ambao wapo tayari kujitoa, wanangojea matokeo tu.
   
 3. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Huo sio uamuzi sahihi kwani utaacha makovu makubwa kwa kuwa hao askari watakuja kuua hata ndugu zao na hakutakuwa na usalama tena. Bado naamini kuurudia utu wetu kupitia nonviolence ways na ime-prove kuwa njia nzuri zaidi katika maeneo mengi bila kuacha makovu yasiyotibika

  Remember:
  [FONT=&amp]
  "Nonviolence is a powerful and just weapon. which cuts without wounding and ennobles the man who wields it. It is a sword that heals" [/FONT]MLK Jr.....
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Peoples poweeeerrr tupo kamanda tunamsubiri RAIS wetu Slaa atuite TAHRIR square ya BONGO tukawatoe kamasi MAGAMBA shenzi zao ipo sikuuuuuuuuuuuuu tuuu nchi itakuwa huru hii
   
Loading...