CCM kweli ni Mafisadi, hebu ona hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kweli ni Mafisadi, hebu ona hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nani Kasema, Nov 8, 2011.

 1. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EPA
  Buzwagi
  Meremeta
  Iptl
  Richmond/dowans/symbion

  Mengine yanakuja .....
   
 2. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kusomesha wafanyakazi kwa bilioni watu 3 wakat wanshindwa kwenda vyuo vikuu kwa kukosa mikopo na uwezo wa kujisomesha, Madawa yana expire ghalani wakati kuna wananchi wanakufa kwa kukosa madawa huko vijijini, viongozi kulipana allowances za kununua nguo kila wanapkwenda nje ya nchi wakati kuna wa Tz wananunua nguo mara mmoja kwa miaka 5,
   
 3. j

  jigoku JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Inatia kinyaa na kuudhi sana mkinikumbusha hayo,na hawa SISIEMU kama wanafikiri wana hati miliki ya nchi iko siku watakiona cha mtema kuni.
   
 4. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mod aliyetoa Msaada kwenye thread yangu
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kihama kinakuja.
   
 6. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh! Hakiitwi kihama kinaitwa kiyama!
   
 7. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani inatisha na kutia hasira
   
 8. M

  Msharika JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wafanyakazi 3 walisomeshwa kwa bilioni 2.2. Je walisoma mwezini au wapi. au ndio Professor j na singo yake ya experiemnts mtafanyia mwezini? haahahaahaahaahaaha
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hao ndo waliosoma bana kwenye jamii yetu na maamuzi yao hayo. Sioni hata umuhimu wao. Bora hata wasingesoma.
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Training ya kusajili line za simu kwenye data base wafanyakazi wa 3 TCRA mwaka 1 wamekula Bilioni 2.2
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Walienda kujifunza jinsi ya kusajili laini za simu
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Wengine wanaamua kuchoma ofisi za mhasibu huko N.I.T ili kupoteza ushaidi..wengine wanaamua kufuta route za mabasi...wengine wanamiliki meli za kuwazamisha ndugu zetu huko majini...wengine..
   
 13. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Si ndio tunachanganya na vugu vugu la OCCUPY ARUSHA, then isambae na kuitwa OCCUPY TANZANIA kutoka kwa mafisadi
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hiyo ya TCRA ni ngeni kwangu. Asanteni kwa taarifa.
   
 15. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ha ha haaaaa, nina hasira ila inabidi nicheke, hiyo ya wafanyakazi wa TCRA ni kali, makubwa ya nchi maskini, kweli ukipima level ya kichaa itakua juu kwa hawa wanaotoa maamuzi kwenye nchi hii, he he heeeeeee
   
 16. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Dah watatu tu mh hii hali ni balaa kuna lingine la walaka umepostiwa mod na jopo lake wameitoa ni balaa!!!!!!
   
 17. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mijamaa hata haina aibu
   
Loading...