Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ninaomba tujadili wana JF. Kwa nini viongozi wa Afrika hawana utamaduni wa kuwajibika kwa kujiuzuru kama ilivyo kwa viongozi wa mabara mengine tena bila kushinikizwa ? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa Ugirikia ameamua kuchukua maamuzi magumu na kujizulu kufuatika hali ngumu iya maisha nayoendelea nchi kwake. Ameona ameshindwa kutafuta suluhu na ameamua kuwaachia wengine wafanye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Nimetokea Kibamba. Nimefika maeneo ya Kimara nimekuta Difenda za FFU kama sita hivi zikirandaranda huku zikiwa zimesheheni askari waliojikoki kana kwamba wanajiandaa kuingia kwenye...
3 Reactions
121 Replies
11K Views
Muswada wa Katiba mpya Mwandishi Wetu Ahofia mabavu ya dola kuteka mamlaka ya wananchi MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HIVI KARIBUNI SUALA LA MASHOGA LIMEZUNGUMZIWA SANA NA VYOMBO VYA HABARI NA HASA PALE CAMEROON ALIPOTOA KAULI YA KUDHALILISHA NCHI ZETU ZINAZOTEGEMEA MISAADA ILA KAMA KUWATAMBUA NA KULINDA NDOA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nguvu ya UMMA ni falsafa inayotumiwa na CHADEMA nchini. Nini maana ya yake katika nchi ambayo ni ya kidemokrasia. Nchi ambayo mihimili mikuu ni Dola (Executive) , Mahakama (Judiciary) na Bunge...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Umeme wa dharura Waandishi Wetu Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja Mipango ya utapeli yakwama Marekani Ngeleja mikononi mwa Bunge UTAPELI mithili ya ule wa kampuni ya kufua umeme wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Public announcement of the ANC National Disciplnary Committee hearings of Comrades Julius Malema, Ronald Lamola, Pule Mabe, Sindiso Magaqa Kenetswe Mosenogi and Floyd Shivambu10 November 2011...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Miaka 50 ya Uhuru Felix Mwakyembe Kandoro asifia miundombinu ya usafiri Uzalishaji kilimo umepanda, bei bado duni Elimu yapanda, vyuo, shule vyaongezeka TBL, Coca Cola, Pepsi, Saruji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tangu nianze kufatilia siasa za Tanzania ni mara ya kwanza kwa bunge kuongozwa bila ratiba....jana kikao kimeanza spika akahairisha bunge baada ya maswali na majibu ili kutoa nafasi ya kupanga...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Wakuu.., nimesikia muda mfupi uliopita kuwa Kamanda wa anga.,Mh Freeman Mbowe amefikishwa mahakamani.Mlioko A town mtujuze. Source: Super Mix East Africa Radio(Michael Barut na Zembwelai)
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Taifa langu limejikuta halina kiongozi wake, yaani rais. Taifa hili Tanganyika au Tanzania Bara linaongelewa sana lakini cha ajabu halina serikali kabisa. Kwakuwa nimepata uchungu kuwa taifa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
What's your OPINION in this?
20 Reactions
55 Replies
5K Views
Katibu wa CCM Mkoa wa DSM Ameandika barua polisi akiomba kibali cha wana CCM kuandamana kutoka Vijana mpaka Kidongo chekundu eti kulaani viongozi wa CDM kukiuka sheria halali huko Arusha...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Tamaa huondoa mantiki nzima ya watu kuishi pamoja katika taifa. Tamaa na ubinafsi ni adui wetu mkubwa katika kusimamisha taifa imara na lenye watu wenye umoja. Sisi watanzania tumechagua wabunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja kati ya vitu ambavyo serikali yetu imefanikiwa miaka ya hivi karibuni ni kufanya sherehe na maonesho. Kila kukicha viwanja vya Mnazi Mmoja na kwingine kuna shughuli ya maonesho au sherehe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
pamoja na polisi kuomba chadema isitishe maandamano kuruhusu majadiliano leo na chadema kukubali. Polisi inapita ikikamata viongozi wa ngazi ya chini wa chadema. Wamemkamata diwani wa kimara...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mie ninamtazamo tofauti kabisa na mwenendo wa siasa za CCM sasahivi. Ukweli ni kwamba siasa za CCM ilibidi toka siku kinazaliwa na ilikuwa hivyo kwa kuwa kwa wakati huo iliruhusu iwe hivyo ili...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Wana JF Muda mfupi uliopita makao makuu CDM , Mwenyekiti wa vijana Taifa John Heche Suguta amengaza maandamano makubwa Dar es Salaam kesho asubuhi kuanzia eneo la kimara. Yeye pamoja na...
2 Reactions
168 Replies
14K Views
Hivi sasa Zanzibar inaongozwa na serikali ya umoja wa Kitaifa kati ya Chama cha Mapinduzi , CCM na Chama cha Wananchi , CUF. Je kuna sababu ya msingi kuwa na serikali ya aina hiyo Tanzania bara...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Back
Top Bottom