Je hili ni sawa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hili ni sawa??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WILLS, Nov 9, 2011.

 1. W

  WILLS Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwakeli nimeona niwashirikishe woote mlio katika ukurasa huu wa watu wenye mawazo pevu!!!! Takribani wiki tatu zimepita sasa, tangu bwana NAPE kuja USA, na kutembelea katika state mbalimbali ili kuwashawishi wa Tanzania waishio uku kujiunga na chama chake (CCM)
  Kweli kwa wadhifa wake ni sawa kwa yeye kufanya ivyo ila tatizo linakuja pale alipokuwa ana warubuni watu kwa kuwaambia kuwa CCM ni chama chenye pesa nyingi, hivyo kuhamasisha watu wajiunge na chama icho kitu ambacho watu malimbali walimshangaa na kumuona kama mtu ambae hajasoma kabisa maana YEYE ALIFIKIRI AKIWAAMBIA WATU KUWA CCM KUNA HELA WENGI WANGEKUBALI KUJIUNGA NA CHAMA ICHO AMBACHO KWAKWELI KWA SASA KIKO NJIA PANDA.. kwakweli kiuhalisia kila mtu atoe maoni kwenye kukitangaza chama kwa raia tunatakiwa kutumia sera za chama au kujigamba kuwa chama tawala kina MAPESA MENGI????
  Na hizo pesa wamezipata wapi kama sio KODI za wananchi wetu??? Ndugu zangu nimda wakuamka sasa maana, sasa Mafisadi wamekuwa wakija uku nje kujisifu na kufikiri sisi tunao ishi uku kuwa hatufahamu uozo wao, wana dhani watatushawishi kirahisi ili tujiunge nao kitu ambacho kilikuwa tofauti....natoa angalizo kuwa ninauhakika sheria yaku piga kura nje ya nchi ikipitishwa hakuna ata mtu mmpja atakae kipigia chama tawala CCM maana hatuoni Walichokifanya zaidi yakujigamba wana hela na kudanganya vijana waishio uku warudi nyumani kufanya kazi eti kwa kisingizio kuwa Tanzania hakuna wataalam,,,,ndugu zangu vijana kweli hamwezi au uyu NAPE alikuja kutu danganya??? mimi kipekee nilimshangaa maana ninajuwa watu wengi walio maliza vyuo vikuu na vyuo vikuu vishirikishi hawana ajira....INAUMA SANA JAMANI FUNGUKENI...!!!NCHI IPO HATARINI SAAANA..
   
 2. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Hamkupata hata muda wa kumwuliza alifanikisha vipi kampeni za uchaguzi mdogo wa Igunga. Nape amechuja sana kisiasa.
   
Loading...