Viongozi wa Siasa na Dini Okoeni Taifa

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Jamani naona nchi yetu inatoka kwenye phase ya kamati kwa kamati sasa inaelekea Maandamano kwa maandamano, ushauri wangu viongozi wa aina zote wenye ushawishi katika Taifa letu ingilieni kati migogoro hii kabla hatujafika pabaya. Toeni kauli msikae kimya twaweza fika kubayaaaaa.
 
Viongozi wa dini hawawezi walishatiwa uoga kwa msemo:"viongozi wa dini msichanganye dini na siasa" ni bahati mabya viongozi wa dini walisadikishwa wakakubali.
 
Back
Top Bottom