Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF,Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali juu ya mswada wa katiba mpya katika television vinavyowakutanisha makundi mbalimbali ya jamii kama vijana,wazee,wanawake ,watoto wenye umri na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau!!! Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayoonesha wazi kuwa serikali imekosa control juu ya utawala wa nchi. Matukio ya mapambano ya polisi na wamachinga mkoani Mbeya...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kwa hali inavyokwenda kwa sasa juu ya majadiliano kuhusiana na Muswada wa Mapitio ya Katiba ni wazi kwamba kuna baadhi ya watu au vikundi vya watu, ama "wanasiasa", "wasomi" au "wanaharakati"...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tokea kukamilika kwa uchaguzi mkuu wa 2010, viongozi wa CDM wamekuwa very busy kuhangaika na uchaguzi wa meya wa arusha tuu, hali hii imeanza kutukatisha tamaa sisi wapenzi na washabiki wa CDM kwa...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
kumekuwa na tatizo kubwa la kutopeleka fedha kwa wakati kwenye halmashauri zetu.halmashauri zinatumia muda na pesa nyingi kupanga bajeti lakini fedha za bajeti zimekuwa zikicheleweshwa au kukatawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha wanainchi cuf kimetoa siku 3 kwa jeshi la police kufuta kauli yake ya kuzuia maandamano na mikutano kwa muda usiojulikana. Akiongea na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za kazi mheshimiwa Rais, pole sana na majukumu pamoja na visafari vya hapa na pale. Sielewi nikusalimie kwa salamu ipi, lakini bila shaka shikamoo itafaa zaidi. Mimi ninaye kuandikia barua...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Nawasalimuni wana jamvi, Nimesoma kwenye gazeti linalochaipshwa Nairobi, The East African la juma hili juu ya nia ya serikari (mafisadi!!!?) kutaka kubadilisha sheria ya manunuzi ya umma ili...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Novemba 5, mwaka huu, Halmashauri Kuu (NEC) ya Taifa ya Chama cha NCCR-Mageuzi, ilifanya kikao jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujadili ajenda moja maalum iliyohusu mpasuko ndani ya chama...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Raisi wetu inafaa akae muhula mmoja tu, usiopungua miaka mitano (5) na kutozidi miaka saba. Napendekeza miaka saba. Hii ni kuongeza ufanisi wake tupate tija zaidi. Pia hatalazimika kuomba kura na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Written by Baalawy // 12/11/2011 // Habari // 12 Comments Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka CUF na CCM leo hawakutafuna maneno na waliungana pamoja kueleza waziwazi kuwa Mswada wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wz,bar tukatae Masuala ya Muungano kuamuliwa na watu 2 tu,Jk na Shein huku Shein akiwa Jk ni Bosi wake na mwenyekiti wake wa chama.Written by amini // 13/11/2011 // Habari // No comments...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge wengi hawapo makini na hawafuatilii masuala nyeti kama sheria ya ununuzi yanayowasilishwa bungeni na badala yake wamekuwa wakipiga stori ndani ya Bunge na kugeuza na kugeuza sehemu hiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwaka 1964 tanganyika na z'bar ziliungana na kwa maana nyingine ni kwamba ule mpaka uliokuwa unatenganisha hizi nchi mbili uliondolewa na kuzaa Tanzania. Sasa swali ni je? 1. Hawa mabwana...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Waziri Kombani asisitiza muswada kusomwa mara ya pili. Asema kanuni za bunge zimefwata. TBC jambo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mwl. Julius K. Nyerere alikoswakoswa kwenda jela mwaka 1958 baada ya kushtakiwa na serikali ya mkoloni kuwa alitoa kauli za kashfa kwa watendaji mbalimbali wa serikali...
32 Reactions
274 Replies
20K Views
kwa hali ilipifika sasa ni wazi kila alieipa kura ccm nafsi itamsuta ishu ya katiba sio ishu ya kuchezea kama imefikia wakati mpaka maprofesa waliobobea kwenye sheria wanatukanwa kwasababu ya...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Kuanzia majukuaa yote yaliyopita toka lile la mwanzo pale udsm mijadala imetawaliwa na jazba kubwa sana.ukionekana mchangiaji uko negative na watu utaanza kuzomewa hapana ndugu zangu watanzania...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuhusu idadi ya wahitimu wanaopata ajira rasmi, Waziri Membe anasema hivi: Alisema kila mwaka vijana 700,000 wanamaliza vyuo vikuu, lakini ni asilimia 10 tu kati yao ndiyo wanaopata ajira huku...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kila mtu anajua impact ya political stability, Arusha is not stable and this has been caused by the ruling party and Chadema. I can see you guys are enjoying as the situation is not constraining...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…