Matumizi ya Takwimu: Nani Mkweli kati ya Lowassa na Membe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya Takwimu: Nani Mkweli kati ya Lowassa na Membe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Omutwale, Nov 14, 2011.

 1. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kuhusu idadi ya wahitimu wanaopata ajira rasmi, Waziri Membe anasema hivi:
  Source: Membe ashauri makanisa yasaidie kutoa ajira kwa vijana

  Naye Waziri Mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya Ufisadi anadai


  Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/192427-lowassa-atabiri-vita-tanzania.html


  Takwimu hizi zinachanganya. Tumwamini nani?

  Bonus Thread:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/184666-edward-lowasa-naye-ana-ugonjwa-wa-kusahau.html
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  wote wezi waliokubuhu wanaotumia makanisa na misikiti kujijenga kuelekea 2015
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ukisoma vizuri mmoja kazungumzia wanafunzi wanaomaliza vyuo vikuu tu (Membe) na Lowasa kazungumzia wanafunzi wanaomaliza msingi,Secondari na vyuo vikuu.

  Utaona wote wapo sahihi.
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hao wahitimu laki 7 kwa takwimu za membe ni wa vyuo vya tanzania tu? Au africa
   
 5. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Barubaru,

  Kwa maelezo ya ziada uliyotoa inamaanisha:

  Wanaohitimu Vyuo vikuu Jumla 700,000
  Wanahitimu vyuo vikuu na sekondari Jumla 850,000

  Yamaanisha nini?

  Wanaohitimu sekondari tu Jumla 150,000
  Wanaohitimu vyuo vikuu pekee Jumla 700,000

  Tuna wanafunzi wachache kwenye masekondari. Lakini la-ajabu tunao wanafunzi wengi ngazi inayofuata yaani vyuoni!! Wanatoka wapi?
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Lakini kinachoonekana hapa ni kwaqmba wote wawili wanakubaliana
  kwamba tuna tatizo kubwa sana la ajira, hilo la data za wangapi
  wamemaliza ni suala la kisera zaidi na inategemea source ipi kila mmojawao
  ameinukuu. Inawezekana wote wakawa sahihi kulingana na sources...
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,054
  Likes Received: 4,619
  Trophy Points: 280
  How can u compare EL & Membe, Membe haaminiki kabisa, we know, ana data of which with little evidence he magnifies to make people believe, pia SI KIONGOZI, si hitaji kuulizwa hapa....
   
 8. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Hamna mkweli hapo,wote mafisadi tu na waroho wa madaraka, waje na solution ya tatizo la ajira sio takwimu tulishazichoka. NARUDI DARASANI.
   
 9. kamatembo

  kamatembo JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 180
  How can u compare EL & Membe, Membe haaminiki kabisa, we know, ana data of which with little evidence he magnifies to make people believe, pia SI KIONGOZI, si hitaji kuulizwa hapa...]

  KWENYE RED HAPO MKUU...JE KUNA MTANZANIA TIMAMU ANAEMWAMINI LOWASSA LEO HII??
   
 10. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mi nafikiri wote waongo!!! Ukweli hautofautiani hata siku moja.
   
Loading...