CHADEMA mambo ya meya wa Arusha inatosha, shughulikieni masuala ya kitaifa sasa

WATANABE

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
1,092
466
Tokea kukamilika kwa uchaguzi mkuu wa 2010, viongozi wa CDM wamekuwa very busy kuhangaika na uchaguzi wa meya wa arusha tuu, hali hii imeanza kutukatisha tamaa sisi wapenzi na washabiki wa CDM kwa kuwa hivi sasa taifa linakabiliwa na matatizo kibao kupanda kwa gharama za maisha, kushuka kwa thamani ya shilingi yetu na hivi karibuni Seikali kushindwa kutimiza majukumu ya kifedha. Aidha watendaji mbali mbali serikali na taasisi na mshiriki ya umaa waliowekwa kimkakati katia asasi hizo wamefungulia ufisadi wa kutisha kwa kufuja fedha za ummma kama kwamba dunia na Tanzania ndio inafikai kikomo.

Che kushungaza wakati haya yote yakitokea viongozi wa CDM hawaonekani kujishughulisha kutaka kuleta mabadiliko katika matatizo haya badala yake kila siku ni uchaguzi wa meya Arusha. Halafu wanatutaka tuandamane nchi nzima kwa ajili hiyo.

Sio ombi tena tunawataka viongozi wetu wawaachie wat wa Arusha mamabo yao na waanze mara moja kushughulikia kero zinazotusumbua kama Taifa. Na huyo anayejiita Ndg Heche tokea achaguliwe kushika wadhifa wa Uenyekiti wa BAVICHA hatujamuaona kuja mitaani kuimarisha chama leo anatutaka kupitia vyombo vya habari tukaandamane tena kwa sababu zisizo na msingi wowote.

CDM tifani acheni kufikiria ndani ya boksi tu, tokeni ndani ya boksi muone hali halisi nje ikoje; ama sivyo mtkuja kujikuta mko peke yenu. Waulizeni akina Mrema, Lipumba n.k
 
Watanabe Umetumwa na nani toa upupu hapa
Maendeleo bila haki uliona wapi Kama na maendeleo
Waambie ccm sindio wanabudjet na ndiowenye serikali SISI CDM tunajenga chama nakutafuta maisha ya usawa ktk nchi yetu.
 
Watu wameamua kusonga mbele, kama wewe umekata tamaa baki nyuma, na kama umeamua kusonga mbele ila unageuka nyuma basi utakuwa jiwe la chumvi.
 
Unaweza kuniambia hicho chma kinajemngwa wapi? hatuoni matawi mapya kufunguliwa, watu wanaotaka kadi za CDM hawajui zinzptikana vipi kila kukicha ni masuala ya meya mmoja tu. Umesahau ahadi za Dr SLaa kuwa kwa kutokuwa bungeni atapa fursa nzuri ya kukuza na kuimarisha chama hadi ngazi za mashina, Sasa haya masuala ya umeya wa Arusha ndio kukuza chama hadi ngazi ya shina?
 
Watu wameamua kusonga mbele, kama wewe umekata tamaa baki nyuma, na kama umeamua kusonga mbele ila unageuka nyuma basi utakuwa jiwe la chumvi.

Mnasonga mbele wapi mbona hatukuwaona jana? Acheni kuwadanganya viongozi wetu. Dawa ni kuwaambia ukweli kuwa wamefika hapo walipo kwa kusema matatizo ya watanzania wote na sio suala la eneo moja tu kila siku.
 
Hakuna kukata tamaa mpaka haki ipatikane. Ungekuwa ANC wakati wa kupingana na ubaguzi wa rangi si ungehama nchi? Kaburu wetu ni CCM, ni mpaka tutakaposhinda.
 
Mnasonga mbele wapi mbona hatukuwaona jana? Acheni kuwadanganya viongozi wetu. Dawa ni kuwaambia ukweli kuwa wamefika hapo walipo kwa kusema matatizo ya watanzania wote na sio suala la eneo moja tu kila siku.
Hatufanyi jambo ili utuone, mbunge wa jimbo lako ni nani???
 
Wewe akili zako ni fupi Dr Slaa Lema Mbowe na viongozi wore wachadema wanakatwa hata wakitembea kwenda maofisini kwao wanabambikiziwa makesi kibao hayo
Mashina anafungua akiwa angani?tunapambana kujenga msingi wa haki na utawala bora au hujui CDM
Inapambana na wanachama haramu wa ccm wanaruhusiwa kutembea na silaha
Ila wamevalishwa sare za polisi :
 
aisee huo mfano wa makaburu ndo penyewe haswa. hakuna kulala mpaka kieleweke. kwa jinsi magamba walivuoishiwa, la meya wa arusha likiachwa liishe kienyeji tu, next election watatumia hypothesis hiyo hiyo somewhere else. tunakomaa nao hapo hapo mpaka mwisho wake. heri maendeleo yachelewe kuliko kuacha demokrasia ikivia huku shimo la umauti ya wengi likitengenezwa
 
Mnasonga mbele wapi mbona hatukuwaona jana? Acheni kuwadanganya viongozi wetu. Dawa ni kuwaambia ukweli kuwa wamefika hapo walipo kwa kusema matatizo ya watanzania wote na sio suala la eneo moja tu kila siku.
Kiukweli kaka ktk hili nakuunga mkono cos kuna wafanyabiashara ndogo ndogo na maduka wanalazimika kufunga maduka yao kisa maandamano ya kila cku,mpaka wengine wanakata tamaa na Lema waliamini atawatoa hatua moja kwenda nyingine kumbe wameleta mizozo isiyoisha na maandamano ya kila cku pasipo sababu za msingi,kweli wanadai haki ila mm na zani bungeni kungekuwa sehemu muhimu ya kudai haki za kimsingi kuliko kuwafanya watu kila cku kuwaza na kesho kunalipi linakuja,Lema afanye kazi,atekeleze ahadi kwa wananchi na sio kugombana na jeshi la polici,kwa ajili yake amelazimisha uongozi wa juu wote wa chama kuwa kufunguliwa mashtaka,ametoa ahadi nyingi sana anatakiwa awasimamie watendaji wa magamba kuakikishe pesa ktk halimashauri zinatumika ipasavyo,sasa mtu kila cku kec anawafanya watendaji walafi waendelee kula tu cos no barking dog,anatukatisha tamaa mwisho wa cku tutamchoka
 
ameongea nini mbona hoja hujasema alichoongea wengine hatuna umeme wenu huo wa mgao,,,,kwani wizara zinaongozwa na cdm? mswaada wa kununua vitu used ndio inashusha thamani ya shilingi ,,,,angalia wabunge wa ccm wanavyounga mkono hoja mia kwa mia mnatia aibu.... msigwa jana kawaambia kama karne hii mnaleta mswaada wa manunuzi ya vitu vilivyotumika basi mmefika mwisho kufikiria,,,hata ule wa kama mtu amehisiwa mchawi eti mkuu wa wilaya anaruhusiwa kumhamisha du karne ya 21 hio ccm bwana acha tu
 
Mizengo Pinda kwa hapa unasemaje? tatizo la UMEYA LITAISHA?
\

Kwa staili hii ya viongozi wa CDM kutekeleza matatizo yote ya taifa na kubaki na tatizo moja tu la meya wa Arusha akinani tena halitaisha kamwe hadi 2015 na ccm wataendele kupeta wakitafuna na kufuja fedha kama tunavyoshihudia hivi sasa.

Hi9vi huu ufisadi wa kutisha unavyongezeka kila kukicha atashughulikia nani kama kila kukicha ni tatizo moja tu la meya wa Arusha?
 
Pamoja na utajiri ulipo, Tanzania imekuwa ombaomba wa viwango vya juu kwa sababu ya aina ya viongozi tulionao. Serikali imejaa viongozi wa kupachikwa ambao uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Hawa viongozi hawawajali wananchi (maana hawakuchaguliwa na wananchi), wamejikita (100%) kuwafurahisha mabosi wao. Ndio maana WATANABE issue ya Arusha ni muhimu sana maana unless unakuwa na kiongozi anayetambua wajibu wake kwa umma Tanzania itaendelea kuwa matonya wa kimataifa. Haiwezekani kwa mfano uwe na mkuu wa mkoa, mayor, mkuu wa wilaya, wakurugenzi lakini bado mitaro ni michafu, hakuna taa barabarani, wanafunzi wanakosa usafiri. Na baada ya miaka 50 tangu tangu tupate uhuru tunao uzoefu wa kutosha juu ya mfumo huu wa viongozi wa kupachikwa.

NB: Naona avatar yako inatoa ujumbe mzito!
 
Mkuu watanabe pamoja sana maneno yako mazito kweli kweli yanataka watu wenye tafakari ya hali ya juu sana bahati mbaya hatupedi kufikiri tanakumbatia ushabiki.

\

Kwa staili hii ya viongozi wa CDM kutekeleza matatizo yote ya taifa na kubaki na tatizo moja tu la meya wa Arusha akinani tena halitaisha kamwe hadi 2015 na ccm wataendele kupeta wakitafuna na kufuja fedha kama tunavyoshihudia hivi sasa.

Hi9vi huu ufisadi wa kutisha unavyongezeka kila kukicha atashughulikia nani kama kila kukicha ni tatizo moja tu la meya wa Arusha?
 
Mkuu watanabe pamoja sana maneno yako mazito kweli kweli yanataka watu wenye tafakari ya hali ya juu sana bahati mbaya hatupedi kufikiri tanakumbatia ushabiki.
Kwa kweli kama haya ndo mawazo mazito kwako nakushauri ujitahidi yule mtoto wako asiwe na uwezo wa kufikiri wa kiwango kama hichi cha kwako.
 
Watanabe umesema ukweli kabisa ......CDM ss waanze kushughulikia kero za wananchi sio kila saa Maandamano kazi jamani tutafanya saa ngapi..CCM nao wanafurahi sna kwani wanajuwa wabunge wa CDM wako busy na maandano hawana cha kuwaeleza wananchi.miaka 5 ni michache sna.
 
Ni kweli Tanzania sio Arusha tu!
Nguvu zielekezwe kwenye mambo mengine pia, la sivyo itafika 2015 bado watu wako arusha.
Au chama hakina priorities
 
Back
Top Bottom