Habari wakuu? Kuna taarifa kwamba mfanyabiashara mmoja amenunua vijiji vitatu wilayani Songea, kikiwemo kijiji maarufu cha Matimila. Pengine kwa maslahi ya wengi ninaomba mwenye taarifa za kina...
Japo kuwa wabunge ni wananchi kama wananchi wengine, ile hadhi yao ya kuaminiwa na wananchi wenzao inazidi kushuka kutokana na mijadala wanayoendesha na maamuzi wanayofikia ndani ya BUNGE. kuna...
Zambian government has honoured one of its election promises of putting "more money in people's pockets" by lowering Pay As You Earn (PAYE).
And the PF government's budget has revealed that it...
Jitihada za Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Wananchi (JWTZ) kupambana na wamachinga ili kuzuia vurugu hizo ziligonga mwamba kwa siku mbili mfululizo, na wakati wamachinga...
Ndugu zangu katika Taifa hili la mwenye nacho kuongezewa na asie nacho kunyang'anywa hata kile kidogo alicho nacho, nawasalimuni nyote.
Naomba tuungane kuazimia hili la uteuzi wa viongozi wa NEC...
Ndugu zangu katika Taifa hili la mwenye nacho kuongezewa na asie nacho kunyang'anywa hata kile kidogo alichonacho naomba tuazimie hili la kurudisha uteuzi wa viongozi na baraza la NEC kwenye...
wadau naombeni ushauri wenu.
kuna kampuni huku ughaibuni tunatengeneza teaching aids kwa ajili ya mashuleni na technical schools,teachers training schools na wakati mwingine tunatengeza hata kwa...
Mapema mwaka huu wakati suala la Libya limeanza nilitoa pendekezo la serikali yetu kusitisha uhusiano wake na Libya kwa sababu ya uamuzi wa Gaddafi kutumia silaha kushambulia wananchi wake...
Kama kawa the banana republic at it again! Nakumbuka hii ndege iliongelewa sana humu JF wakati ule na kama kawaida apologists wa JK na CCM wakasema eti tuna wivu, tunasumbuliwa na njaa na...
Hakuna jambo linaloniudhi kama hawa wanaong'ang'ania kudai kuwa
tunakaribia kutimiza miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania Bara. Mimi hapa
sielewi, Tanzania Bara ndiyo iliyopata uhuru? Kwa nini...
Hi thinkers!!
Nimekuwa nikitafakari hili nsuala kwa muda mrefu sana, nikizingatia uzoefu wangu wa TZ Bara na Visiwani. Hakika maisha ya wazanzibar ni duni kupita kiasi, hali halisi ni kwamba, si...
Shivji: No need for hurry about Constitution Bill
By Guardian on sunday correspondent
13th November 2011
Professor Issa Shivji
The opposing voices against planned...
The goverment should focus on increasing business in with more private Air companies instead on increasing investment and corruption in ATC. Why Tanzania is poor is because of this type of...
Serikali, Chadema bado hapatoshi
Saturday, 12 November 2011 21:06
VIONGOZI WA DINI WAONYA, WATAKATA MUAFAKA HARAKA
Na Waandishi wetu
Mwananchi
MSUGUANO kati...
Daraja la umoja linalounganisha Tanzania na Msumbiji ni miongoni mwa miradi ya serikali ya ccm ambayo imetumia fedha nyingi bila kuwa na manufaa ya aina yoyote. Daraja lilifunguliwa kwa mbwembwe...
Aliyekuwa mkuu wa Idara ya Itikadi na Mafunzo ya chama cha NCCR-Mageuzi, leo amejiuzuru rasmi uongozi na uanachama wa chama hicho.
Habari hizi kanithibitishia mwenyewe kwa njia ya simu, ingawa...
CHADEMA isikubali pendekezo la Waziri Mkuu la kuitaka iache maandamano. Lazima ikubalike/ieleweke kwamba maandamano ndiyo njia pekee ya kuleta ukombozi hivyo badala ya kuacha zoezi hilo...
Kufuati kushindwa na migogoro ya madeni kwa ugiriki na utaliano, viongozi wao wamepisha wataalamu waongoze nchi zao kwa muda ilikurekebisha chumi zao, sasa kwa tanzania pia tunakabiliwa na changa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.