CUF walipa jeshi la polisi siku 3 lifute kauli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF walipa jeshi la polisi siku 3 lifute kauli!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Nov 11, 2011.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chama cha wanainchi cuf kimetoa siku 3 kwa jeshi la police kufuta kauli yake ya kuzuia maandamano na mikutano kwa muda usiojulikana.

  Akiongea na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho Buguruni kaimu katibu mkuu Julius Mtatiro, amesema kauli hiyo imekwenda kinyume na sheria ya demokrasia duniani na hata katiba ya jamhuri ya muungano. Alisema shughuli za vyama vya siasa ni pamoja na maandamano na mikutano ili kupata wanachama wapya.

  "Tutaendelea kuomba, ole wao watunyime tutachukua hatua" alisema kaimu katibu mkuu Julius Mtatiro.
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mpaka CCM B wamejitutumua kutoa tamko kweli nchi haitawaliki.
   
 3. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siku 3 mbona nyingi hivyo!! na kama hawatafuta hiyo kauli nini kinafuata!!!
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mke anafurukuta baada ya mlinzi wa familia kunyanyasa majirani.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nchi hii hakuna nahodha, meli inakwenda mrama
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kikweete tuachie nchi yetu imekushinda...baada ya kukosa sukari kwa karibu wiki moja leo tumenunua kwa 2500 lakini kwa mashariti kuwa usinunue zaidi ya kilo moja duuuh tunarudI enzi za mababu zetu..
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wacha tusubiri mbona siku 3 sio nyingi?
   
 8. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  bado sijaelewa hivi tanzania ni nchi ya democrasia au dikteta? maana mikutano na maandamano ni haki ya kila mtu kama katiba(sheria mama) inavyosema. Utawala usiyo fikiria kutatua matatizo ya watu unawaza kusahaulusha matatizo ya watu una mwisho wake
   
 9. k

  kalokolaVIII JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  uliyosema ni ya kweli na wenye masikio na wasikie!!!!!!
   
 10. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  Lets wait and see. Good move. Kudos Mtatiro.
   
 11. m

  mtoto mzee Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ni wapenda Demokrasia na wadai haki, wangetaka kauli ifutwe mara moja na siyo kutoa siku tatu. Haki haiombwi bali inachukuliwa hata kwa nguvu. Jipangeni CUF mrekebishe tamko lenu.
   
 12. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hawa hawana lolote!siku tatu zitaisha na hakuna hatua yeyote watachukua!
   
 13. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mama(ccm) umesumbua mpaka mtoto(cuf) ameamka nayeye. Sasa kaa chini mtoto anyonye kisha atalala again.
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  dar kweli TZ kumenuka
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Mama watoto anajaribu kumchimba mkwala mumewe hahahahaaaaaaaaa.
   
 16. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Hivi inawezekana kweli mke kumpangia mume siku za kumnaniiiiiiiii? Inawezekana kweli mke akafanya hivyo? Hawa CUF huenda ndo wamesha shika 'mimba' sasa inawasumbua si bado 'mimba' changa, loh!
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Zaid ya spice islanderz
   
 18. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Nchi gani inahusudu mitumba??kuanzia Soksi unapanda bukuta,unapanda,sikn tite,unapanda,CHUPII NOMA!Vesti,unapanda sindria,!!!kila kitu mtumba unakuta mtu kasimama kuanzia nchi yake mtumba,nguo zake zote mtumba, simu mtumba, gari mtumba,laptop mtumba,nyumba mtumba,mke/mume mtumba,vifaa vya majeshi mtumba kila kitu mtumba!!Ninchi ya mitumba
   
 19. K

  Kalila JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao cuf wanataka waonekane tu kwenye media ila hakuna lolote waafanye mapinduzi bungeni kwanza
   
 20. M

  MLEKWA Senior Member

  #20
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAMA KWELI hao chadema wanaamini mkono utakatika basi waendelee kufuata tu kama sungura labda utakatika miaka ya usoni. Tuwaulize Chadema toka chama chao kiundwe wameifanyia nini nchi wamefanya nini kubadilisha katiba ya nchi kwa manufaa ya watu wote . Hadi leo hii Watanzanai wote hawazijui polcy za Chadema ni zipi kama hamuani nendeni miji yote yenye wafuasi engi wa Chadema waulize sera ya chadema ya kuhusu vijana ni ipi , sera ya uchumi au AJira ya Chadema ni ipi nianweza hata kuismama Kariakoo na mwanza , Arusha na kwengineko kuwaekea video clip za wanachama wa Chadema ukiwauliza kuwa srea ya chama chao ni ipi n i zero.
  Nilwiauliza Chadema Sera yenu ya nje ikoje humu ukumbini nani amweza kunyanua mdomo kuniandikia kuniambia hii hapa soma , hakuna.
  Chama inachotaka kukua na kutawala kinahitaji kujulikana sio sera ndani ya Briefcase Wakati Mzee Mbowe na Wnzake wanakuja majukwaani ndio utasikia kuwa wao wana mwaga sera ial sera haiwi majukwani tu. Sisi wengine hadi leo hatujachagua chama mbadala cha kuona hichi ndio chama Tanzania ni vigumu hata kumshsauri msomi akikuuliza nataka kugombea ugunge nigombee chama gani kwnai hakuna kipya.CCM ita inutralize Chadema kama ilivyofanya wka vyama vyngine na iendelee kuiharibu nchi ibaki kuwa na mkovu ya kila aina. Haya niwaulize watani wa Chadema CCM Nape alikua Marekani na kila blog kwua laikua akialikwa kupata wisky na redwine kuanzia Texas , Newyork na Washington Dc rea haya Huyo ndio kiongozi wa Vijana au ndio MAlema na yeye toka lini Tanzania kwua na sheria za Afrika Kusini za enzi hizo za ANC n a SWAPO ya Namibia kwani Tanzania bado hijapata uhuru , kama hijapata Uhuru hayo mabilioni yanayotafunwa na wajanja wachache kwa kisingizio cha uhuru ni wapi Katiba ya Tanzania inaruhusu chama kuwa na matawi nje ya nchi au nje ya mipaka au CCM ina plan ya kuja kuweka mgombea wa useneta au ugavana wa Texas na New?York > Kweli ukikosa sera unaumia kama wanyoteseka CCM leo hii inakuaje ushindwe kuwafikia mamilioni ya watanzania vijijini kuwauzia sera ya chama chako ila una uwezo wa kufika Texas kwa wadu kupata wine na nyama choma . Kidumu chama cha Wapinduaji , ALuta continua wanamageuzi mageuzi yanaweza kuwepo Barani Afrika bila ya kuwa na urasim uwa vyama , Tunisia , Egypt na kwengineko wametuonesha mfano hata hapo =kwa jirani Kenya Moi na kundi lake wlwalinyanua mikono watanzania na watanganyika an wazanzibari hawajawa tyari wka mageuzi ya kweli . Mageuiz ya kweli hayaongozwi na wahafidhina wachache walaitiwa pingu za mikono za kulinda maslah ya chama kwanza , mageuzi ya kweli ni nji yetu kwanza Chama baade hata Lyatonga Mremana mwalimu Nyerere aliwamsha watanzania kwuaambia CCM sio baba yangu wala mamma yangu jiiulizeni kauli hii ina maana gani .Lyatonga aliwaamsha Watanzania ila walikua bado hawajakua tayari kuyabeba mabegani mageuzi , mizuka ya chama ndio ilionfanya Mrema akimbie kila chama alichokihamia na mwishowe aiona ni yale yale ya Mabutu wa Zabanga ya Zairwaa kuwa vyama 104 na bado maisha ya mkongo yalikua ni utapeli tu Na Lyatonga lwiaonesha Wanzania kwa kuweza kuvunja record mabayo jaijawahi kutokea Tanzania ni Yeye tu aliweza kwua Mbunge wa vyama vitatu tofauti na miji miwli tofauti . Tuwaulize CUf nini kiliwakuta na wo kupata somo la Igunga na kujikuta na masuali mengi ya ndani na mwishowe vijana wa CUF wakaja na sera siokuwa yao , iliofeli wkeney CCM ya kuvuana ugozi Niwaulize vijana wa CUF KWeli mutaweza kuchunana magozi ? Kuejnga chama sio mchezo Tanzania haina chama chenye uwezo wa kweli kujiita chama huu ndio ukweli kial chama kina maradhi yake sasa Daktari atatibu maradhi yote haya alioyaeleza Dr Warioba ya vyama kukosa uwazi na Demokrasia ya kweli ndani ya vyama , charity start home kama Kweli munataka kuwapa wananchi altarnative mkutano mkuu ya vyama veynu iwekeni live Kwenye TV wanachama wenu waone nini kimezungumzwa wka uwazi , hamuwezi kwua na mikutano ya Mabaraza kuuu , mikkutano mikuu na Kamati kuu kwa siri .Demokrasia ya leo ni ya uwazi Tusione aibu kwenda haja jioni kando kando ya bahari kama ndug uzetu wa Msumbiji kila mtu anajua ukila lazima unye! Vyama vyetu haja ndogo zoa ni wapi au kando kando ya Bahari ya Msumbiji ?au wanajichumngulia kwenye vioo wakati wananuka Kinyesi ?
  Vijana kama muna nia ya kweli ya kuleta mageuzi tafuteni historia ya Tanznaia ya vyama vingi toka vinaanzishwa na Kina Marando , Mapalala , Fundikira , Bob Makani na Mtei hawa ndio walioweka foundation rudini kwao , Kasanga tumbo na wengineo au tafuteni video muweke kwenye YouTube za kampeni za 1995 , 2000 na 2005 . 2010 za wagiombea wa vyma vilivovuma wakati huo kwani Tanzania toka 1995 vyama vilivyovuma ni vichache.
  Huu ndio ushauri wangu wa Vijan a wa kweli wa Tanzania anzisheni kitu kama hichi kilichomkosecha Zuma usisingizi ndani ay chama chake ila musianzishe ndani ya vyama vyenu anzisheni chombo kitakachokua na uwezo wa kuilinda sauti yenu ni Umoja wa Vijana wa Taifa kial akona ya nchi
  Vijana mukiweza kufanya hivyo njooni hapa hapa niwaoneshe vipi mutadai haki zenu huu ni ulemavu tunaoutaka weneywe Watnznaia yanayotokea kule mbeya leo ni ujinga wetu Vijana kutokua na chombo cha kutulindia haki zetu . Umoja huu ukiundwa kwa kutekwa nyara na wajanja wachache wenye pingu za vyama mikononi mwao
   
Loading...