Wabunge kuweni serious

Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
506
52
Wabunge wengi hawapo makini na hawafuatilii masuala nyeti kama sheria ya ununuzi yanayowasilishwa bungeni na badala yake wamekuwa wakipiga stori ndani ya Bunge na kugeuza na kugeuza sehemu hiyo kama kijiwe.
 
Kwa sababu ni wahuni wengi wao,na ndio madhara kuwapa mamlaka mishen town wasimamie raslimali zetu lazima tukione chamtema kuni tu,wakuu wa nchi hii wanapiga deal zote za kimjinimjini kama wale wanaokaa maskani za posta na lumumba,billicanas, sinza etc
 
Kutokuwa makini matokeo yake ni kupitisha sheria za ovyo na zisizo na tija kwa Taifa.
 
Back
Top Bottom