Jazba zetu na kujifanya tunajua kila kitu zitaharibu muswada wa katiba tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jazba zetu na kujifanya tunajua kila kitu zitaharibu muswada wa katiba tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Nov 13, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuanzia majukuaa yote yaliyopita toka lile la mwanzo pale udsm mijadala imetawaliwa na jazba kubwa sana.ukionekana mchangiaji uko negative na watu utaanza kuzomewa hapana ndugu zangu watanzania tuwe na uvumilivu wa kukubali kila maoni ya mtu.
  Tatizo letu tunataka kila mtu aseme yale tunayotaka hapana hivyo hatutaendelea hadi miaka 100.watu wanakosa busara kuzomea mtu labda akiwa anapinga kitu fulani huwezi jua labda kutokana na mawazo yake tunaweza kuandika katiba nzuri.

  Tuache mara moja hii zomea zomea kwenye mijadala yenye nguvu hata kama mtu ana kitetea ccm muacheni amalize ndo busara nzuri na sio kuanza kuzomea mnajenga picha gani'

  ndiyo taifa limechoka na udhalimu wa ccm na kuchakachua muswada wa katiba lakini sasa kila mtu akizomea nafikiri hata muda uliopangwa hautatosha kuongea.

  Tuache siasa wakati wa kuchangia maneno mengi unawanyima nafasi wengine ukipata nafasi gusa jambo la msingi wape wenzio nafasi.

  Jazba zipungue na zomea zomea iwe mwisho tuwe wavumilivu wa kwenye majukua ya kisiasa
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  kwanini wakuzomee ndugu yangu? Au wewe ni kati ya wale wasiona thamani ya Katiba mpya.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  inaonekana na wewe ulizomewa
   
 4. F

  FredKavishe Verified User

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  naona thamani sana lakini kila mtu anaenda pale wengne wanakuwa na positive wengne negative turespect maoni ya watu wote
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Hatutaki CCM tena ndo maana tunazomea
   
 6. F

  FredKavishe Verified User

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hell no sijawahi hata kupata nafasi hiyo lakini pia sijapendezwa na hizi tabia za zomea zomea'
   
 7. F

  FredKavishe Verified User

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kila mtu amechoshwa na ccm lakin kwenye maswala makubwa ya katiba ambayo tunaitengeneza itupeleke miaka 50 mingne hizi harufu za kichama ziwe pembeni
   
 8. L

  Luiz JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waliosababisha kuzomea nikutoka na mswada wenyewe ulivyo maana hata mtoto wa chekechea angezomea mimi naungana na watu wanaozomea kutokana na upuuzi uliomo kwenye mswada wenyewe kiufupi ccm hawataki katiba mpya.
   
 9. A

  ALBON New Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwleezi kusoma upepo mpaka usubiri kuzomewa? Huu si wakati wa kutetea hata ya ambayo yanaonekana kuwa wazi. Utatetea vitu na kuonekana wa ajabu na mwisho wake ni kuzomewa!!!
   
 10. Blandes

  Blandes JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Dawa ni kuzomea 2,mpaka katiba mpya,mawazo mgando yanaturudsha nyuma mkuu
   
 11. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kushabikia CCM ni aibu unastahili kuzomewa tu hakuna njia nyingine ya kuwafikishia ujumbe hatuwataki
   
 12. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kama umefuatilia mjadala wa katiba jana utagundua watanzania wameamka..watu wanataka mabadiliko maisha yamekua magumu mno..muda wa kuchangia hoja ni mdogo na kilamtu anataka atoe dukuduku lake..so ukionekana huna point na unachelewesha muda tuu lazma uzomewe..alafu yule dogo alisema anawachukia wabara...yan ningekuwepo ningempiga kichwa hadi azimie..akizinduka anajikuta yupo chakechake alaaah
   
 13. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,811
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Watanzania tumevumilia sana hawa si wazomewe tu na bakora juu .
   
 14. B

  Bijou JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  kwa kweli, ulichosema ni sahihi kabisa watanzania tooo much kujua jazba kwa kweli zitatumaliza
   
 15. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ha ha ha! namekukuta ehe! kumbe hujaelewa watu sasa wamepinda? huwezi tena kuwanyoosha mzee mwenzangu we tulia tu!
   
 16. m

  mgosiwakaya Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu nimekukubali halafu ungempa kichwa cha kichogo yaani ingekuwa powaa sanaa....ahaahaaaa!
   
Loading...