Je kikwete na serikali yake wanendelea kuvunja katiba na muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kikwete na serikali yake wanendelea kuvunja katiba na muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baina, Nov 14, 2011.

 1. baina

  baina JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka 1964 tanganyika na z'bar ziliungana na kwa maana nyingine ni kwamba ule mpaka uliokuwa unatenganisha hizi nchi mbili uliondolewa na kuzaa Tanzania. Sasa swali ni je?
  1. Hawa mabwana wanapohubiri kuwa tarehe 09.12.2011 ni siku ya uhuru wa tanzania bara si wanakuwa wameurudisha huo mpaka? na kwa ruhusa ya nani?
  2. Serikali inaposema eti uhuru wa nchi ya TZ bara inatumia katiba ipi inayotambua tz bara kama nchi?
  3. Na je kama ule mpaka sasa umerudishwa kuna haja gani ya kuendelea kuhubiri muungano?
  4. Je hayo ndo kikwete aliapa kuyasimamia?
  NAOMBA KUWASILISHA.
   
Loading...