Kipindi cha raisi ofisini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi cha raisi ofisini

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Counsellor, Aug 1, 2011.

 1. C

  Counsellor New Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raisi wetu inafaa akae muhula mmoja tu, usiopungua miaka mitano (5) na kutozidi miaka saba. Napendekeza miaka saba. Hii ni kuongeza ufanisi wake tupate tija zaidi. Pia hatalazimika kuomba kura na kuaga wapiga kura wake mara nyingi. Atomba kura mwaka mmoja na kuaga mwaka mmoja atatekeleza ilani yake miaka mitano bila kisingizio.
   
 2. c

  cesc Senior Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  i think mihula miwili ndio best
   
Loading...