Ccm na chadema tuacheni watu wa arusha tufanye kazi sasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm na chadema tuacheni watu wa arusha tufanye kazi sasa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BLUE BALAA, Nov 14, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kila mtu anajua impact ya political stability, Arusha is not stable and this has been caused by the ruling party and Chadema.
  I can see you guys are enjoying as the situation is not constraining anything on your side, for us it does big time. At the end of the day you automatically count.

  Please sit down to resolve, we are tired with the on going hymns mara Umayor, mara madiwani mara maandamano.

  Sasa tumechoka mtuache tufanye kazi hatutaki tena siasa zenu za KITOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Tuilamu CCM kwa kushusha kiwango cha elimu.
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kiwango cha elimu kinahusu nini? Ni busara za tu za viongozi ndio zinahitajika
   
 4. kwempa

  kwempa Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya...tungoje wengine wajitabulishe
   
 5. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nafikiri wewe huna unacho loose na ndo maana unafurahia, possibly you are among the one mliokuwa mnataka kukaa mkesha kule NMC - that's beyond doubt. Kuna ambao tulichangia sana Lema kuweza kuingia Dodoma nje ya nyie mliokuwa mna andamana. Tunampenda Lema ila tunataka afanye kazi sasa. Mimi sio idiot kama ulivyoniita ila naona siwezi fanya argument na wewe sababu nakuona una brain constipation if not premature. Wahi mahakamani ukaandamane ngoja mimi nichape kazi.
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,844
  Trophy Points: 280
  Unajua alichokinena mkuu wa mkoa (kilaza) wa arusha kwenye kikao cha maendeleo ktk bwalo la polisi hapa arusha?????
   
 7. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Shida hapa naona hatuelewani lugha, ninachotaka mimi tuachwe tufanye kazi sasa wanatakiwa wakae chini wana resolve. Hizi fujo sisi hazitusaidii tena. PERIOD
   
 8. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mkuu uwezi tenganisha siasa na maendeleo, pasipo haki pia hakiuna maendeleo? anachopigania lema ni haki ya watu wote wa arusha,na kwa mfumo wa magamba haki haiwezi patikana kirahissi kama unavyofikiri.
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,844
  Trophy Points: 280
  mimi binafsi naloose utu na ubinadamu ambayo ni haki ya msingi ila inakiukwa kwa kiasi kikubwa na serikali kupitia polisi. Maendeleo ya arusha hayatarejea pasipo kuzingatia utu na ubinadamu.
  Hakuna maendeleo bila amani, na hakuna amani bila haki.
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,806
  Likes Received: 36,844
  Trophy Points: 280
  Lugha ni rahisi, kikao cha kusolve kimefanyika ktk bwalo la polisi hivi majuzi, je unajua mkuu wa mkoa wa arusha(kilaza) alichokisema ktk kikao hicho??????
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Nafikiri mtoa mada ndio hana kazi ya kufanya, lakini wenye kazi zao hakuna hata mmoja ambae hafanyi kazi zake, kama wewe kazi yako ni kutwa kushinda kwenye JF vile vile hujakatazwa so far life goes on.
  Ushauri: ni busara zaidi ukikaa kimya bila kuanzisha thread hautopungukiwa na kitu, kuliko kujaza crap hapa jamvini.
   
 12. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kushushwa kwa elimu kumuathiri
   
Loading...