Pinda kuutema Uwaziri Mkuu?

Pinda kuutema Uwaziri Mkuu?

Kiguu na njia

Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
95
Reaction score
21
Wadau!!!

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayoonesha wazi kuwa serikali imekosa control juu ya utawala wa nchi. Matukio ya mapambano ya polisi na wamachinga mkoani Mbeya, machafuko ya Arusha na Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Aidha mchakato wa katiba mpya umeielemea serikali na haioni ni wapi pa kutokea. Kauli ya Mbunge wa Monduli na M/kiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na Mambo ya nje na PM mstaafu Mhe. Edward Lowassa kutahadharisha kuwa wakati wowote bomu la machafuko laweza kulipuka ni mwiba mwingine kwa serikali. Hivi sasa serikali inasononeshwa na kauli mbiu ya CHADEMA ya peoples power kiasi cha kuifanya kutojua ni nini kitatokea kesho. Suala la Jairo lilimfanya Mhe. Pinda kunyong'onyea na hata kujinyanyapaa mwenyewe mbele ya bunge na hata raia wa kawaida.

Kwa siku za karibuni PM Pinda ameonesha wazi kuwa ni kama kiongozi asiyekuwa na mamlaka yoyote ktk utendaji kazi na kila jambo lazima lifanywe na Rais au maagizo toka kwa Rais pekee. Kwa ujumla amekuwa ni kama ceremonial Prime Minister!! Kwa hali inaonesha wazi amekata tamaa na anaona bora liende ili mradi anapata mshahara na marupu yake. Kwa jinsi mambo yanavyozidi kuharibika ni wazi Rais Kikwete anaweza kufanya mabadiliko makubwa ili kuepuka serikali nzima kuondoshwa madarakani kwa maandamano au kura ya kutokuwa na Imani na serikali bungeni!! Watch out and see!!
 
Sijaelewa bado maudhui yako.
Je ni nini mchango wa Waziri Mkuu kwenye ulegelege wa nchi na pia nini mchango wa Raisi. Kwanini isiwe vinginevyo yaani Rais abwage manyanga kwa kuwa tuna Raisi mwenye nguvu kubwa sana kisheria.
 
Auteme tu huo uwaziri mkuu mbona sioni tofauti yoyote huyo akiwa waziri mkuu ama asipokuwa waziri mkuu. ni useless tu huyo atimke
 
weee huwa ni mtu wa negativity tu, something is wrong with you
 
mkuu umeandika hii kamba ukiwa macho au usingizini?
 
weee huwa ni mtu wa negativity tu, something is wrong with you

Hivi kwa mtazamo wako tu!! Tanzania ina waziri mkuu mwenye impact au symbol!! hawezi kutatua migogoro, hawezi kutoa maagizo yakatekelezwa, nchi inayumba akibanwa anaanza kulalamika hee CHADEMA!!
 
Kwanza alivyo hana lolote!! Muoga, mnafiki na kigeugeu!! najua hata wenzake hawamuheshimu kabisaa!!! anafaa kuwa mjumbe wa shina na wazee wenzake!!!
 
Wadau!!!

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayoonesha wazi kuwa serikali imekosa control juu ya utawala wa nchi. Matukio ya mapambano ya polisi na wamachinga mkoani Mbeya, machafuko ya Arusha na Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Aidha mchakato wa katiba mpya umeielemea serikali na haioni ni wapi pa kutokea. Kauli ya Mbunge wa Monduli na M/kiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na Mambo ya nje na PM mstaafu Mhe. Edward Lowassa kutahadharisha kuwa wakati wowote bomu la machafuko laweza kulipuka ni mwiba mwingine kwa serikali. Hivi sasa serikali inasononeshwa na kauli mbiu ya CHADEMA ya peoples power kiasi cha kuifanya kutojua ni nini kitatokea kesho. Suala la Jairo lilimfanya Mhe. Pinda kunyong'onyea na hata kujinyanyapaa mwenyewe mbele ya bunge na hata raia wa kawaida.

Kwa siku za karibuni PM Pinda ameonesha wazi kuwa ni kama kiongozi asiyekuwa na mamlaka yoyote ktk utendaji kazi na kila jambo lazima lifanywe na Rais au maagizo toka kwa Rais pekee. Kwa ujumla amekuwa ni kama ceremonial Prime Minister!! Kwa hali inaonesha wazi amekata tamaa na anaona bora liende ili mradi anapata mshahara na marupu yake. Kwa jinsi mambo yanavyozidi kuharibika ni wazi Rais Kikwete anaweza kufanya mabadiliko makubwa ili kuepuka serikali nzima kuondoshwa madarakani kwa maandamano au kura ya kutokuwa na Imani na serikali bungeni!! Watch out and see!!

Kwanza utuambie ni nani aliekutuma uje hapa kusema eti LOWASSA ni waziri mkuu mstaafu????kwa nini unajitoa akili kiasi hicho wewe...ina maana unajifanya hujui kwamba lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND?kama unatumiwa basi wanakutumia vibaya,kinyume na matarajio au maumbile yako!!
 
Now basi watanzania tuache kushikiwa akiri zetu na watu wengine wakazichezea na kuzifanya wanavyo taka wenyewe na sisi tukafuata kama wanavyo taka basi........pufikie wakati tujue maana ya system basi kwa msaada zaid "system as a collection of interrelated components that work together toward a collective goal" so leo ukiniambia Pinda anataka kuutema PM unakuwa uongo na uzandiki mkubwa katika anga hii because Pinda is one among the component in a system, so hamna fact ya kumkosha moja na kumchafua mwine. Hatutofika hivyo... na tutoweza kujenga Tanzania mpya kwa taarabu kama hizi zisizo na mashiko kwa Taifa na wananchi
 
Mimi nadhani ni waziri mkuu dhaifu kujiri kuliko wote tuliowahi kuwa nao. Ngoja tuone itakuwaje?
 
Kwanza utuambie ni nani aliekutuma uje hapa kusema eti LOWASSA ni waziri mkuu mstaafu????kwa nini unajitoa akili kiasi hicho wewe...ina maana unajifanya hujui kwamba lowassa ni waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya RICHMOND?kama unatumiwa basi wanakutumia vibaya,kinyume na matarajio au maumbile yako!!

Ndugu yangu hizi zote ni mbwembwe tu hawa wote wanastahili kuitwa Rais wa zamani, waziri mkuu wa zamani ama aliyewahi kuwa rais, waziri,mkuu wa mkoa nk. Nani alisema siasa ni taaluma ambayo watu wanasitaafu?
 
Jamani nirudie tena lowasa hakustaafu, au kustahafu = kujiuzuru?
 
Toka lini viongozi wa tanzania kujiuzuru? wanang'ang'ania vyeo utafikiri wamezariwa kuongoza maisha. wanachemsha lakini wamo tu jamani mweee inakera sana
 
Back
Top Bottom