Watanzania waone umuhimu wa kuwachagua wapinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania waone umuhimu wa kuwachagua wapinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchambuzixx, Nov 14, 2011.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  kwa hali ilipifika sasa ni wazi kila alieipa kura ccm nafsi itamsuta ishu ya katiba sio ishu ya kuchezea kama imefikia wakati mpaka maprofesa waliobobea kwenye sheria wanatukanwa kwasababu ya kudai haki ya katiba mpya na watu ambao pengine hata walikuwa wanafunzi wao, ccm wanafanya wanavyotaka katika bunge wamekuwa viburi coz wapo wengi bungeni lakini sauti ya upinzani inasikika zaidi nje ya bunge kwa kutumia nguvu ya umma kwa sasa hatuna tunachoweza kufanya sheria ya ununuzi vitu chakavu lazima tu itapita ila katika hili la katiba mpya kipo tunachoweza kufanya kwakuwa katiba ni mali ya wanachi na sio serikali .... namalizia kwa kusema nafsi yangu iko saafi kwa kutochagua takataka inayoitwa ccm je wewe ulioichagua unajiskiaje kwa sasa na mambo yanayoendelea katika nchi hii
   
Loading...