Wawakilishi wataka wazanzibari wapewe uhuru wakuchagua juu ya muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawakilishi wataka wazanzibari wapewe uhuru wakuchagua juu ya muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Nov 13, 2011.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=1][/h]Written by Baalawy // 12/11/2011 // Habari // 12 Comments

  Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka CUF na CCM leo hawakutafuna maneno na waliungana pamoja kueleza waziwazi kuwa Mswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba unapaswa kuwapa fursa wananchi kujadili mambo yote likiwemo Muungano na kwamba iwapo wanaona hauna maslahi nao na wakataka usiwepo, basi maoni hayo yaheshimiwe maana mamlaka ya nchi yanatoka na yanaamuliwa na wananchi wenyewe. Samwel Sitta aliondoka na ujumbe huo.
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Watu wa Kigoma nao wapewe nafasi kama hiyo au ni Wazanzibari pekee?
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Zanzibar hiyo inaondoka na kuyoyoma maana wakipitisha referendum nina uhakika only 5% ya wazanzibar ndio wanaoutaka huo muungano wengine hawataki hata kuusikia. I now believe zanzibar is better off without Tanganyika kwa namna uongozi ulivyo tanganyika wazanzibar watapiga hatua kubwa wakijitoa kwenye muungano.
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  yale yale ya ZANZIBAR NI NCHI AU SIO NCHI.
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Waende zao weshatuchosha hao!!!!!!!!!!!!!
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Bora, tunataka Zanzibar yetu. Tumechoka na Muungano wa kinyonyaji. Inatosha. VIVA JF.
   
 7. F

  Falconer JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Bravoo Baraza la wawakilishi wanatetea demokrasia kabisa. Hili ni suala la kuamuliwa na wananchi. Sisi wazanzibari tunataka muungano wa wanachi. Ikiwa upande wa kwetu wameamua basi, iheshimiwe. na ikiwa wameamua muungano uendelee, pia iheshimiwe. Wazanzibari tuliowengi hatuoni faida za muungano. We want out. Kama alivosema muasisi wa mapinduzi Bw, Nassoro myo kumwambia Samueli Sitta, "IT'S OVER.". Lililobakia ni ku buy time tu.
   
 8. takashi

  takashi JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 909
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi lini Kigoma iliungana na TANGANYİKA ? Zanzibar iliungana na Tanganyika 1964...
   
Loading...