Kamati ya bunge [elimu] ulizeni wizara kuhusu ajira mpya za walimu

Pole sana mkuu tatizo lako kama langu lakn ngoja tusubirie bunge tar 8 maana kama bajeti ilishapitishwa kitambo tu
 
Tatizo linaeleweka kuwa fedha hakuna, fedha zote zilipelekwa kule Igunga kukomboa jimbo.
 
Pole ndugu yangu ajira kiukweli zipo ila serikali haina pesa za kulipa watu kama ikiwaajiri kwani inaukata mkali sana, Hawa waliopo kuwalipa stahili zao issue. Mwombe Mungu sana ili hali hii itoweke.
 
Duh! tunakoelekea siko, waliwaahidi vijana kuwa mwezi wa tisa mwanzoni wataajiriwa, sasa ona baada ya uchaguzi Igunga, sasa kimyaaaa! kwani nchi zingine wanfanyaje kukomesha huu uozo jamani?
 
Back
Top Bottom