Wabunge wanawake wa CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wanawake wa CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Angel Msoffe, Nov 15, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  katika ishu ya mswada toka ianze jana ni mbunge gani mwanamke wa (ccm) aliyesimama na kuwawakilisha wanawake wa tanzania kwa kuchangia ishu ya mswada kwa maslah ya TAIFA?? WANAWAKE WA CCM WAKIONGOZWA NA ANNA MAKIND.A WANAWEZA KUWAWAKILISHA WANAWAKE??
   
 2. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya sasa.... wanataka kutudhalilisha wanawake.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yule aliyechangia wa mwisho lakini nimemsahau jina lake.
   
 4. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  kweli yule wa mwisho yupo sawa yeye hakujikita kwenye siasa za mipasho lakini waliobaki lazima tuwatafutie software ili wajitambue.
   
 5. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanasubiri ikitokea ishu ya kupiga kura waweze kupigia chama chao
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wagonga meza na wapiga vigelegele
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hawa ni waburudishaji wa wazee wa chama chao...
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Naona kuitwa mbunge wa CCM siku hizi ni matusi pia, kwahio wale matusi wajifunze kuangalia maslahi ya watu wengine
   
 9. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hamna kitu.
   
 10. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ......mh kwa heshima ya mama yangu nisiseme neno ktk hii thread....asanteni
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nimethibitisha kuwa kweli watu humu wanakurupuka tu bila kuwa na uhakika na wanayoyasema. Sitaki kukutajia wanawake wote waliochangia, kwa taarifa yako ni kwamba mtu wa kwanza kuchangia muswada mara baada ya kuanza majadiliano alikuwa mwanamke Anna Kilango Malecela. Inawezekana unaangalia Bunge kwa masaburi wewe.
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  wanawaongoza wanawake wenzao kuchugua viongozi wanaogawa hii kitu: View attachment 41357
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  walichangia kwa maslahi ya taifa au chama??
   
 14. mtalae72

  mtalae72 Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yupo Anna Kilango alipewa nafasi na Mkosamali wa NCCR Mageuzi akanyimwa kuongea kwa kigezo cha kupoteza muda:(
   
 15. i

  iphone Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zanguni wanajf,
  Hivi huyu VGL yeye anatumia nn kufikiria au ndani ya masaburi???wabunge wanawake ccm pia na cuf wanatetea ndoa zao hata huyo kilango wa jituu patel
   
 16. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Kama mwenyekiti wao Sofia Simba alivyosema ndio na hao wanawake walifanya, basi ujue ni "uchi" ndio umewaingiza mjengoni. Usitegemee chochote hapo.
   
 17. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Yani wana jamvi makini sana.sema kuna wangese kama nyie waganga njaa wa magamba ndio mnafanya kila kitu kwa kulinda maslahi ya mabwana zenu nyie viburudisho vya wazee wenu hamna lolote kwanza wengi wenu mmeshaoana mnamegwa na vibabu wenye umri wa madingi zenu kwa kifupi mnaleta njaa 2 uso mkavu hamna aibu.angalieni maslahi ya taifa sio jamaa zenu poooh njaa mbaya.
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hawa wanaleta mapenzi kwenye mambo ya msingi kwa taifa hili....wengi ni watu wa ******....
   
Loading...