Nchi imeuzwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi imeuzwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanzania, Jun 9, 2008.

 1. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hivi huyu mzungu hiki kiburi chote anakitoa wapi? Hata bunge halijaiona report, yeye tayari kaonyeshwa?

  Wapinzani hiyo silaha mnayo itumieni vizuri maana JK mjinga tu na yeye, inaelekea hajali maslahi ya taifa kama akina Mkapa tu.

  Bomani team proposals on mining sector reforms:

  Ball now in JK's court, says Canadian investor

  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam


  THE chief executive officer of a foreign company with vast mining interests in Tanzania, James Sinclair, has sought to assure international investors that President Jakaya Kikwete will not change existing fiscal policies in the sector despite a longstanding public outcry that the nation is not benefiting enough from mining receipts.

  Sinclair, chairman and CEO of the Canadian-based Tanzanian Royalty Exploration Corporation, also states that he has already had access to the recommendations of the final report of the mining sector review committee chaired by retired judge Mark Bomani - just days after the report was actually submitted to president Kikwete himself.

  Making the statements via his company’s website http://www.tanrange.com, Sinclair furthermore declared that he was not worried about the future.

  Bomani and other members of the committee presented the final report to president Kikwete at State House in Dar es Salaam on May 24 this year, and six days later (May 30) came Sinclair’s website statement where he says in black and white:

  ’’I’ve had the privilege of reviewing the (Bomani) committee’s recommendations - along with comments from the (Tanzania) Chamber of Mines - and have no serious issues with them. What’s important to know, however, is that the man who will make the final decision on the recommendations is the president - not the committee.’’

  He continues: ’’President Kikwete is an extremely knowledgeable and capable man who will do nothing to disturb the balanced fiscal policies that have produced enormous growth in Tanzania’s economic base, most of it fuelled by international investors.’’

  Sinclair’s latest statement comes on the back of reports that the fourth phase government under Kikwete is gearing up towards sweeping reforms intended to ensure a ’’win-win’’ situation for both Tanzania as a nation and private companies operating mining projects in the country.

  The Bomani committee was formed by the president himself late last year with the mandate to review all contracts currently pertaining to the sector, and advise the government accordingly. This is also interestingly stressed in Sinclair’s statement, as follows:

  ’’President Jakaya Kikwete of Tanzania formed a committee last year to review the country’s Mining Law. This body has a name that describes its mission and limitations: ’The Presidential Committee to Review and Advise Government on Management of the Mineral Sector.’’

  The Tanzanian Royalty Exploration boss also said he was confident the Bomani committee’s recommendations were focused on ’’improving the conditions and privileges of (mining) exploration companies.’’

  He further claims on the company’s website that president Kikwete has been a ’’close friend’’ of his for more than 20 years now.

  Tanzanian Royalty Exploration is a publicly-traded financial gold company whose stated business strategy is to acquire royalty interests in gold production from its core assets in the Lake Victoria greenstone belt (LVGB) of Tanzania, where a reported 40 million ounces of gold have been discovered since the mid-1990s.

  ’’Tanzanian Royalty ranks among the largest landholders in the LVGB - one of the most prolific goldfields in the world,’’ the company says on its website, listing several multinational mining firms it has negotiated royalty agreements with in Tanzania, including Barrick Gold, AngloGold-Ashanti, and Northern Mining Explorations.

  It is reported that by mid-2005, Tanzanian Royalty Exploration held a total of 138 prospecting licences in the Lake Victoria goldfields.

  In February this year, Joseph Kahama was appointed a director of Tanzanian Royalty Exploration Corporation, after serving as senior vice-president of the corporation since July 2007.

  Kahama also served as president and director of the company’s wholly-owned subsidiary, Tanzania American International Development Corporation 2000 Limited (Tanzam 2000), since 1997. In his capacity as president of Tanzam 2000, Kahama was responsible for corporate administration and also for maintaining good relations with government, vendors, and the company’s various business partners in Tanzania.
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ndio wanaanza ona ripoti za uchunguzi kabla hazijatolewa hadharani!!! kweli nchi imeuzwa...
   
 3. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2008
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Hello guys, i sent email to Bloomberg and WSJ about this agenda. Few weeks ago bloomberg were criticised Sinclair strategy. Nilikuwa nataka article ambayo ni source ya hii habari and am happy nimeipata, Thanks Mtanzania.

  Nilishaandika mwanzo kwamba Sinclair ni mbabaisha na penny stock yake kwenye Wallstreet. These time tutajitahidi kusend email kwa ma editor mpaka basi.
   
 4. J

  Janejo Member

  #4
  Jun 9, 2008
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Unaweza ukaandika kwa lugha yetu ya kiswahili ili wasomaji tuweze kuelewa vizuri unachokiongelea.
   
 5. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2008
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Siyo kwamba Sinclair ni mbabaishaji ni kwamba viongozi wetu ndio wababaishaji yaani wameisha fikia kiasi cha kutufanya watanzania tuonekane hatuna maana ndio maana yake.

  Inakuwaje wafanyabiashara tena ambao investiments kubwa ziko kwetu wanaandika mambo kama haya tena kwenye web?

  Hii inatufungua macho jinsi tulivyouzwa na viongozi tuliowaamini. Wakati wa Buzwagi wakati Jk anakimbilia huko watu walisema haya haya ya huyu bwana Sinclair kufanya kazi Ikulu sasa ndo haya haya ametudhihirishia mwenyewe.
   
 6. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #6
  Jun 9, 2008
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Wa kujilaumu ni sisi wenyewe, si akina Sinclair kama alivyosema mjumbe hapo juu. Wakati kila kona ya dunia wananchi wanahakikisha wanachagua the best sons and daughters to run their countries, sisi tumeamua kuchagua watu wenye ujuzi wa ujanjaujanja na uswahili ambao sasa akina Sinclair ndio wamewaweka mfukoni. Tusikate tamaa, tuendelee kupiganisha fikra, ipo siku kitaeleweka.
   
 7. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2008
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kitila,

  Je hao best sons and daughters wa TZ tunao?

  Naanza kupata wasiwasi kwamba huenda TZ tuna watu wachache sana ambao wanaweza kutusaidia na bahati walio wengi sio wanasiasa au hawawezi kuchaguliwa kwenye siasa.

  Hali inasikitisha sana na kutisha pia. Tuombee 2010 labda tupate watu wazuri wengi kwenye nafasi mbalimbali.
   
 8. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  This is very dangerous to us as a nation .

  Kuna haja ya kupata majibu ya haya maswali yafuatayo kwanza.
  Hivfi huyu ni kuwa JK kabla ya kuamua huwa anaomba ushauri kwa Sinclair?
  Ripoti huyu kaipata wapi?
  JK you should come clear kuwa wewe huendeshi hii nchi mkwa ubia na akina Sinclaiur kwani hii ni aibu kwetu kama taifa na nuhuru wetu kwa ujumla.

  we cant be like this anymore and the Sinclairs et all should know this from a word go.
   
 9. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  How can an investor anaweza kuwaambia wenzake kuwa hakuna atakachoweza kufanya rais wetu?
  Hivi huyu rais ni kweli hana ubavu kiasi hicho?
  Hii ni dharau ya hali ya juu sana kwa uhuru wetu na uafrika wetu.

  Huyu mzungu kuna haja ya kumzuia kuja nchini kama mwalimu alivyomfunga yule mgiriki kwa kufanya mambo ya kiupuuzi kama huyu jamaa .

  JK and your team lazima muelewe kuwa tupo macho na kamwe hatutakuwa tayari tena kuvumilia upuuzi wa hawa wakoloni kiasi hiki tena.
   
 10. John Mnyika

  John Mnyika Verified User

  #10
  Jun 9, 2008
  Joined: Jun 16, 2006
  Messages: 715
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE

  RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
  “Rais Jakaya Kikwete amekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia Desemba 2005. Kabla ya kuwa Rais, Mheshimiwa Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo Nje na Uhusiano wa Kimataifa kuanzia 1995 hadi 2005, Waziri wa Fedha 1994 hadi 1995 na Waziri wa Maji, Nishati na Madini kuanzia mwaka 1990 hadi 1994. Kama Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Mheshimiwa Kikwete alishiriki moja kwa moja katika kusaini mikataba mibovu ya madini na makampuni ya madini ya kimataifa ambayo kwayo taifa limeendelea kupoteza utajiri mkubwa na kuinyima Serikali uwezo wa kifedha wa kuhudumia wananchi. Kwa mfano, mnamo tarehe 10 Aprili 1990, Major Jakaya Mrisho Kikwete aliingia mkataba wa madini ya kampuni ya SAMAX Limited ambapo kampuni hiyo ilipewa leseni ya kuchimba dhahabu katika eneo la Lusu, Wilayani Nzega Mkoa wa Tabora. Matokeo ya mkataba huo, maelfu wa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu waliokuwa eneo hilo waliondolewa kwa nguvu na vikosi vya FFU na bila ya kulipwa fidia yoyote. Hadi leo wananchi hao hawajalipwa fidia yoyote licha ya miaka zaidi ya kumi ya kufuatilia haki zao. Baada ya kutwaa utajiri wa dhahabu wa eneo hilo, SAMAX Limited iliuza eneo hilo kwa kampuni ya Ashanti Goldfields ya Ghana kwa dola za Marekani milioni 253. Ashanti Goldfields nao wakauza eneo kwa kampuni ya Resolute Limited ya Australia kwa kiasi kisichojulikana cha fedha za kigeni. Resolute Limited ndio waliojenga na wanamiliki Mgodi wa Dhahabu wa Golden Pride ulioko eneo la Lusu, Nzega hadi sasa na ambao ulifunguliwa mwezi Novemba 1998.
  Mnamo tarehe 5 Agosti 1994 Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete aliingia tena mkataba na kampuni ya madini Kahama Mining Corporation Ltd., kampuni tanzu ya kampuni ya Sutton Resources ya Canada. Ijapokuwa mkataba huu unaonyesha wazi kwamba ulikuwa unahusu eneo la Butobela Wilaya ya Geita Mkoani Mwanza, mwezi Agosti mwaka 1996 Kahama Mining Corporation wakisaidiwa na vikosi vya FFU walivamia eneo la Bulyanhulu, Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuwaondosha kwa nguvu watu takriban laki nne waliokuwa wakiishi na kuchimba dhahabu katika eneo hilo. Baada ya kutwaa eneo hilo kwa nguvu za kijeshi, Sutton Resources iliiuza Kahama Mining Corporation na Bulyanhulu kwa Kampuni ya Dhahabu ya Barrick Gold Corporation ya Toronto, Canada kwa dola za Marekani milioni 280. Leo hii Bulyanhulu ni moja ya migodi tajiri kwa dhahabu katika Bara la Afrika. “
  Chanzo: The List of Shame, Dr. Slaa, Tundu Lissu et al
  Tukikumbuka uhusiano na Sinclair, Sutton Resources na Barrick na pia kauli zake alizozitoa wakati huo kuhusu Rais Kikwete(wakati huo akiwa waziri) tunaweza kujadili vizuri zaidi suala hili.
  Na tukijua zaidi undani hisa za hii kampuni ya Sinclair za sasa, tutaweza ‘kuinunua upya’ nchi yetu!
  JJ
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nchi imeshauzwa naona bado receipt tuu kukabiziwa tujue moja
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jun 9, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  kwanini basi wasitugawie kila mtu kipande chake ili yote yaishe?
   
 13. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2008
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  Mtanzania
  Huo uchaguzi wa 2010, kama CCM watarudi kushika madaraka ya dola, futa kabisa mawazo ya kupata viongozi wazuri.

  CCM imekuwa kama nyama iliyooza (sera mbovu, utekelezaji mbovu, ufuatiliaji mbovu, udhibiti mbovu), ila imetunzwa kwenye jokofu. Kula nyama ya namna hii, matokeo yake mnayafahamu.
   
 14. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2008
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Hivi mwenzetu unamawazo ya CCM kuondoka 2010??? Labda fikiria mkakati mwingine may be wa kuachana na JK maana nchi imemshinda!!! Kama CCM wataweza kumuondoa huyu jamaa kabla ya 2015 atlease watakuwa wametusaidia sana. Lakini suala la CCM kushindwa may be wana JF wote waingie mtaani kupiga kampeni badala ya kufanya kampeni za kwenye mtandao tu!!!!
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa mwendo huu bado kuna mtu kahoji uhalali wa Mwanakijiji kutomsifia JK na kazi zake .Kazi zenyewe ndiyo hizi ?
   
 16. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Kana kwamba wapiga kura huko vijijini wanasoma mitandao
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sinclair, chairman and CEO of the Canadian-based Tanzanian Royalty Exploration Corporation, also states that he has already had access to the recommendations of the final report of the mining sector review committee chaired by retired judge Mark Bomani - just days after the report was actually submitted to president Kikwete himself.

  Making the statements via his company’s website ’’http:www.tanrange.com’’ www.tanrange.com), Sinclair furthermore declared that he was not worried about the future.

  Bomani and other members of the committee presented the final report to president Kikwete at State House in Dar es Salaam on May 24 this year, and six days later (May 30) came Sinclair’s website statement where he says in black and white:

  ’’I’ve had the privilege of reviewing the (Bomani) committee’s recommendations - along with comments from the (Tanzania) Chamber of Mines - and have no serious issues with them. What’s important to know, however, is that the man who will make the final decision on the recommendations is the president - not the committee.’’

  He continues: ’’President Kikwete is an extremely knowledgeable and capable man who will do nothing to disturb the balanced fiscal policies that have produced enormous growth in Tanzania’s economic base, most of it fuelled by international investors.’’


  I HOPE ITS NOT TRUE...
   
 18. O

  Ogah JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  DAAMMNN!!!!.......this is our B*** S*** we created/formulated
   
 19. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Now I have confirmed the CHADEMA’s Tundu Lissu and Mnyika’s doubts that this committee was formed just to dilute public discussion on mining sector and absorb Zitto’s shock. It was a consensus between the investors (read: thieves) and the gate keeper (read: the collaborator), President Jakaya Kikwete. The CHADEMA’s had warned us, that the issue is not forming another committee, what is lacking is the political will to implement the recommendations that had already been give by an endless list of other committee’s formed for similar purpose. So it was another waste of tax payers money (how much this time?) and recommendations given a just like those of the Masha Committee formed merely 2006. But now we have known who the washika mapembe are and who are the wakamua maziwa. Let us find a undertaker, JK is in the loop..

  Asha
   
 20. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2008
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,680
  Likes Received: 21,942
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine huwezi hata kuamini kwa jinsi yanavyotia kichefuchefu! La ajabu ni kuwa bado kuna watu wazima, na sio wehu, wanasimama vifua mbele hadharani na kutamba kuwa tuna kiongozi makini. AIBU !
   
Loading...