Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Nov 14, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wabunge wa Chadema watoka nje ya ukumbi wa bunge,wakati Anna malecela akiongea.
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Wabunge wote wa CHADEMA wamesusia bunge wametoka nje wote wakati wakuwasilisha mswaada wa Katiba!Wamebaki waganga njaa!
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kilango anatokwa na povu. anasema 'spikwa' badala ya spika.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nimeona ...ni jambo la kusikitisha sana!..Spika amekosa mwelekeo na yuko impartial sana!
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  muda mfupi bada ya Tindu lissu kumaliza kuongea,na Spika kukataa muongozoo uliombwa na Mnyika.
   
 6. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa nini wengne ndio tunatoka ofisini,
   
 7. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ndo watajua kama hatupendi ujinga
   
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  bahati mbaya sijasikia alivyomalizia Lissu, lakini hawa CCM wamekuwa too arrogant!!!
   
 9. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Baada ya kusomwa kwa muswada wa katiba mpya, idadi kubwa ya wabunge wa CHADEMA watoka nje baada ya Spika kukataa hoja ya kuahirishwa kwa mjadala.
   
 10. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,779
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Hali si shwali bungeni, wabunge wa CDM wametoka nje ya bunge baada ya Lissu kumaliza kuwasilisha hoja ya kambi ya upinzani. Demu wa Malecela kasema waacheni waoondoke sisi tutajadili. CCM wamebaki na kuwadanganya wananchi!

  Nawasilisha!
   
 11. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila tuache utani!
  Maoni ya kambi rasmi ya upinzani ni ya msingi sana!!!
  isipokuwa tu kwa ushabiki wa kisiasa watu wameyaponda!!! we have a wrong way to go!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. m

  mambojambo New Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya maoni ya kambi rasmi ya upinzani, wabunge wa upinzani waomba mwongozo wa kuahirisha mjadala na spika akataa hoja hiyo na kumruhusu mh kilango malecela kuendelea kuchangia hoja! spika hataki hata kuruhusu maombi ya mwongozo, my take nahisi alijiandaa kuhakikisha hapati upinzani leo, kama mambo ndiyo haya maamuzi yatakuwa kwa wananchi wenyewe!
   
 13. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Huyu mama jinsi anavyoongea utadhani anawafokea watoto wake.
   
 14. p

  potokaz Senior Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Mara baada Tindu Lisu kumaliza hotuba yake na spika kukataa kutoa nafasi ya mbunge aliyeomba muongozo wa Spika, wabunge wa upinzani wametoka bungeni. Sasa hivi Mama Anna Kilango yuko hewani anachoongea hata simuelewii.

  Haya wadau.

  Muongozo wa JF tafadhali.
   
 15. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  wameungana kumpa mamlaka yote mwenyekiti wao vasco da gama.
   
 16. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mwaka huu magamba watakiona mhhh ....
   
 17. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Jamani hii nchi inakwenda wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
   
 18. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,454
  Likes Received: 7,220
  Trophy Points: 280
  Kwani ndo wanaanza leo kutoka?
   
 19. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...upupu.
  Hawataki mawazo ya watanzania, ila wanataka kuiga nchi nyingine zimefanya nini.
   
 20. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Aisee kweli ccm wanatuburuza vibaya sana. Hii si haki.
   
Loading...