Madaraka ya Raisi wa nchi ni yapi?

Madaraka ya Raisi wa nchi ni yapi?

Bob_Dash

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
90
Reaction score
13
Naombenini mwongozo kuhusu madaraka aliyonayo Raisi, nina uliza hivi kwa sababu hivi karibuni imeripotiwa katika vyombo vya habari kumekuwa na matukio ya vurugu katika mikoa ya Mbeya na Iringa kati ya polisi na wananchi hali iliyosababisha hata watu kupoteza maisha na wenginine kwenda ma hospitalini, chakushangaza ni kwamba vurugu zilipotokea huko Mbeya Raisi alikuwa huko na pia leo hii vurugu zilizotokea huko Iringa Raisi alikuwa huko pia, lakini chakushangaza sijasikia tamko lolote rasimi kutoka kwa huyu muhishimiwa Raisi, ama mambo kama haya ya usalama na utulivu wa nchi si jukumu lake?
 
Back
Top Bottom