Our time is now: CHADEMA msirudi bungeni mpaka 2015!

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,169
10,785
Mkirudi bungeni mtawasaliti watanzania...lisifanyike swala la kama lile ''kumtambua na kutomtambua rais -paradox''..Mkijua wazi Slaa alishindaKatiba mpya ndiyo suluhisho..kinyume na hapo ni siasa tu,

HAKI inatafutwa haiombwi..haibembelezeki..be part of new Tanzania

Watanzania wako nyuma yenu.

Freedom is coming today!
 
Mkirudi bungeni mtawasaliti watanzania...lisifanyike swala la kama lile ''kumtambua na kutomtambua rais -paradox''..Mkijua wazi Slaa alishindaKatiba mpya ndiyo suluhisho..kinyume na hapo ni siasa tu,

HAKI inatafutwa haiombwi..haibembelezeki..be part of new Tanzania

Watanzania wako nyuma yenu.

Freedom is coming today!
Utawapa wewe posho?
 
''kumtambua na kutomtambua rais -paradox''..Mkijua wazi Slaa alishindaKatiba mpya ndiyo suluhisho..kinyume na hapo ni siasa tu,

HAKI inatafutwa haiombwi..haibembelezeki..be part of new Tanzania

Watanzania wako nyuma yenu.

Freedom is coming today!
Freedom is coming this soon!!!!! People's Power!!! Tutashinda tu!
 
99% of the current MPs need to go home. They do not know what they are doing. Most of them have been there forever with impunity. They are number of sections in the proposed law such as Section 8(1) which gives the President powers to set the terms of reference for the Constitutional Review Commission, therefore Chadema should continue pressing hard.

Lakini Waberoya the truth of the matter is sitegemei Chadema kutokurudi, kurudi lazima watarudi tu, ila kwangu mimi i am glad hata chama kingine cha upinzani such as NCCR nao waliungana na Chadema kwenye suala hili after-all the bill does not contain the recommendations made by the parliament when the first draft was rejected so for them ilikuwa ni sawa wao kutoka nje kwa kuwa Speaker alikuwa biased
 
lakini mkuu umekuwa uko mbali na idea zao'unataka kutuambia sasa hivi unawaunga mkono?

Mkuu niko hivyo..wakifanya kitu cha kunifurahisha mawazo yangu nitaungana nao! wakienda kinyume na kitu ambacho ninaona kuwa hakitupeleki popote ..nitawakosoa..nitasema tu!

Katika hili nina wasupport sana tu,si mara ya kwanza wala ya kumi kuwaunga mkono chadema... kwani mimi napenda mabadiliko--ila yawe genuine

Nimekuambia juzi wanasiasa hawapendwi wanakuwa supported and we have to moniter them kwa uangalifu mkubwa

Chadema waking'ang'ania msimamo huu..utaamsha hisia za watu wengi, utawatisha CCM..watafanya kile kinachotakiwa kufanywa

Katiba ikibadilika ni faida kwangu na kwa vizazi vyangu vijavyo..kamwe sitakuwa mchoyo kusema hongera chadema hapa na pale na sitasita kusema kinyume wakiwa kinyume!

au hauniamini?? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ra-chadema-bungeni-hongera-kitila-mkumbo.html
 
naunga mkono hoja ,they real need to press hard kwenye hili kwasababu ndiyo suluhisho la matatizo yetu mengi kiuchumi ,kisiasa ,kijamii na kimaadili na zaidi ya yote kwa maendeleo yetu.
 
Hivi unacheza na posho leo wamerudi jana walitoka lakini baadae wakarudi kusaini posho zao!
 
Ndio mkuu wamerudi wanasema eti hawezi kumuachia nguruwe shamba..

Halafu hawa hawa ndio wanataka kuwaingiza watanzania kwenye maandamano!

wameshatoka mjadala wa katiba ukianza na wao hawaukubali wanatoka nje
 
Ha! Ha! Ha! Wametoka tena lakini watarudi baadae kusaini posho zao!

Wamekwenda kunywa chai
 
Wanafanya kazi nzuri sana CHADEMA. Kinachonitia mashaka wanakataa kujadili mswadi, lakini posho ya mswada huo huo wanaitaka. Wanatakiwa kuwa ngangari full ktk yote. Ili wananchi tuwaelewe na tuwe nyuma yao kweli kweli. Hii nenda rudi nenda rudi inanitia mashaka.
 
katika ishu ya posho cdm wanageukaga rangi na kuwa njano na kijani..rangi ya yanga.
 
Back
Top Bottom