Website ya bunge ni ya kichochezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website ya bunge ni ya kichochezi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mvaa Tai, Nov 15, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  [TABLE="align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"]Hon.Chikawe Meinrad Mathias
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]Nachingwea Constituency
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]CCM
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]Questions(0)[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]Supplementary Questions (0)
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]Contributions (0)
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Source: Parliament of Tanzania
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  hii kali
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Ninaiita ya kichochezi kwasababu wanamchonganisha huyu mbunge na wapiga kura wake, lazima Bunge liangalie namna ya kuwalinda wabunge wa namna hii walioenda bungeni kutafuta pesa na kupiga makofi ya kuunga mkono hoja
   
 4. Kabwela

  Kabwela Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni website nzuri na huyo si peke yake hata Mtaalamu wa mipango kama kanisa katoliki taarifa zilikuwa zinafanana na huyu. Na hawa ndio waliopitisha muswada wa KATIBA kwa 100%. waTZ muone wawakilishi wenu wanvyolala Bungeni na kuwaza kupandishiwa mishahara kwa kusinzia tuu.
   
 5. f

  firehim Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli sasa hivi dunia kiganjani. Yani unaweza kupata performance ya mtu kiurahisi hivi. Safi sana. wapiga kura wake wamemuona.
   
 6. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kuna haja ya vyombo vya habari kuyaandika haya kwa mapana zaidi ili wapiga kura waone kazi ya MP wao waliomtuma kama anatekeleza ipasavyo au vp
   
 7. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,242
  Trophy Points: 280
  Ivi Mrema profile yake ikisoma Qns 100,,Contributions (98) etc, je mtamsifia vip?
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo alikwenda kunywa gahawa tu bungeni na kupiga mambo yetu yale.
   
 9. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uchochezi uko wabi kama jamaa anaenda kulala na kunywa bungeni afanyweje? This is good transparency
   
 10. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  tihii hii hiiiii..................jamani yeye ni waziri haulizi anaulizwa tuu wajameni!!
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  nachingwea ilikua bora enzi ya mkoloni mpaka reli ilikuepo!kwa sasa ndio wilaya iliyonyuma kuliko kwa mtindo wa mbunge kama huyu sijui
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo neno..... Any way. Nilitaka nionyeshe ni jinsi gani Mbunge wa Jimbo lako anapopewa uwaziri inavyokughalimu mpiga kura, Huyu Chikawe ni Waziri hii imepelekea asiweze kuzungumza chochote bungeni as if yeye kupewa uwaziri kuna maanisha jimboni kwake hawana la kusemewa.
   
 13. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Hii inamsaidia nini mpiga kura wake kule jimboni????????? kuna haja ya kutenganisha ubunge na uwaziri ili wabunge waweze kuwawakilisha vizuri wapiga kura wao bungeni.
   
 14. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145


  chaguo la nkwele
   
 15. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  jamani hayo yanawahusu nini nyie...???

  je, kama hakutumwa kuuliza maswali bungeni na wananchi wake nyie mnataka ajitungie maswali yake ili aonekane muongo...???

  je, hamjui kuwa kukaa kimya nayo ni njia nyingine ya kutuma ujumbe kwa wahusika....???

  acheni hizo......!!!!
   
 16. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huwa anachangia kwa njia ya maandishi.
   
 17. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Hiyo ndiyo tanzania..
   
 18. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Afadhali na ambaye anakaa kimya,kuliko yule anaye changia alafu anachangia hoja za kipumbavu.
  Nadhani wapo na mnawajua. Si ndio?
   
 19. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hii kweli kubwa kuliko.
   
 20. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Hıı kwelı takangumu!
  Wapıga kura naona wamelala,
  Mbaya zaıdı jımbonı kwake vıjana wote wametımkıa Dar kuganga njaa!
  So anauhakıka wa kujıvunıa kura kıbao tu kutoka kwakına Mama na wazee.
   
Loading...