Kuna tofauti kati ya sheria na Legitimacy ya sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tofauti kati ya sheria na Legitimacy ya sheria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Nov 18, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sheria nzuri ni ile inayokubalika. Hata uwe na sheria nzuri kiasi gani kama haina support ya wananchi ni bure. Huu mswada wa katiba ambao ccm wanashangilia sana hauna maana yeyote maana huku nje wananchi hawaungi mkono.Inaonekana serikali imepania kutumia katiba kubaki madarakani ndio maana wanalifanya hilo swala liwe la ki ccm zaidi. Ndoto za Dr Kikwete kuacha jina zuri kwa kutengeneza katiba hazitatimia maana katiba itakayopatikana haitakuwa ya wananchi bali ccm na hivyo bado kwenye kampeni watu watakuwa wanazunumzia katiba kama tatizo
   
Loading...