Mzee Mwinyi naye kulamba PhD ya heshima chuo kikuu huria

buyegiboseba

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
535
145
Ule mchezo wa kugawa PHD kwa wanasiasa unaendelea na sasa ni zamu ya mzee Ruksa Ally Hassan Mwinyi atapewa shahada ya uzamivu hii hapa chini tarehe 26/11.

.HONORARY DOCTOR OF
LETTERS (D. LETT)
S/N NAME REG. NO
GENDER
REGION
2444 MWINYI, ALI HASSAN M DAR ES DALAAM

Wanajamvi nielimisheni hiyo degree ya LETTERS ihahusu nini? mi sijaelewa kabisa nikahisi labda kwa vile aliruhusu mambo kiholela ndo anapewa hiyo LETTERS,nielimisheni wanajamvi

source
http://www.out.ac.tz/announcements/general/LIST OF APPROVED CANDIDATES FOR 23RD GRADUATION-1.pdf
 
Ruksa anastahili sana hizo PhD za kupewa kuliko huyu kanjanja wa Magogoni. Namheshimu Ruksa kwasababu katika uongozi wake ndipo nilipoanza kuvaa nguo za dukani kama suruali za Michael Jackson, Zicco na mchele-mchele.
 
LUKUVI, William V.

HD/A/006/T.08.

Yeye anapata MASTER OF ARTS IN POLITICAL SCIENCE (MA PS).Jamaa yuko peke yake ktk masters yake.

Kumbe mzee wa watu walimsema hajasoma shule kwenye kijarida cha Msemakweli kumbe ilikuwa uongo!
 
Ule mchezo wa kugawa PHD kwa wanasiasa unaendelea na sasa ni zamu ya mzee Ruksa Ally Hassan Mwinyi atapewa shahada ya uzamivu hii hapa chini tarehe 26/11.

.HONORARY DOCTOR OF
LETTERS (D. LETT)
S/N NAME REG. NO
GENDER
REGION
2444 MWINYI, ALI HASSAN M DAR ES DALAAM

Wanajamvi nielimisheni hiyo degree ya LETTERS ihahusu nini? mi sijaelewa kabisa nikahisi labda kwa vile aliruhusu mambo kiholela ndo anapewa hiyo LETTERS,nielimisheni wanajamvi

source
http://www.out.ac.tz/announcements/general/LIST OF APPROVED CANDIDATES FOR 23RD GRADUATION-1.pdf

hiyo ni shahada ya heshima wanayopewa magwiji wa kuandika barua za mapenzi kwa lugha adhimu ya kiswahili.
Utaona wameandika mashallah ya mahabuba na mahanjumati ya moyo wangu, nikupe nini uriodhike? Ningekupa ghorofa, lakini wapo wenye magorofa tisa, basi nitakupa maini yangu tuone ni tajiri gani mwenye maini tisa akuhonge
 
Kaka na miye ntaidai hii PhD kama ndio hivyo
 
Tena wamechelewa sana kumtunuku alhaj mwinyi maana ni zao la awamu yake , mzee ni visionary fulani hivi na hii imetokana na kuishi kwake nje ya tz zaidi, ana elimu ya kawaida ila ameelimika sana kimazingira kuliko viongozi wetu wengi , big up prof wa ukweli tolly mbwette
 
Nimemwona Kwenye BA Education "MWANAISHA MRISHO KIKWETE"wadau vipi huyu ni yule mtoto wa kikwete au majina
 
Huyu mzee ni muungwana sana.Pamoja na udhaifu wake kiasi lakini ana mengi ya maana ameyafanya kwa nchi hii ukilinganisha na hawa waliopo.Anastahili.
 
Hili swala la phd za kichina linatia kichefuchefu na kinyaa. Hata hamu ya graduation ya chuo kikuuu haipo tena ni sawa tu na primary.
Shindwa kwa jian la yesu ikishindikana na basi na mohamed
 
ule mchezo wa kugawa phd kwa wanasiasa unaendelea na sasa ni zamu ya mzee ruksa ally hassan mwinyi atapewa shahada ya uzamivu hii hapa chini tarehe 26/11.

.honorary doctor of
letters (d. Lett)
s/n name reg. No
gender
region
2444 mwinyi, ali hassan m dar es dalaam

wanajamvi nielimisheni hiyo degree ya letters ihahusu nini? Mi sijaelewa kabisa nikahisi labda kwa vile aliruhusu mambo kiholela ndo anapewa hiyo letters,nielimisheni wanajamvi

source
http://www.out.ac.tz/announcements/general/list of approved candidates for 23rd graduation-1.pdf

ka uhandishi mzuri wa habari
 
hiyo ni shahada ya heshima wanayopewa magwiji wa kuandika barua za mapenzi kwa lugha adhimu ya kiswahili.
Utaona wameandika mashallah ya mahabuba na mahanjumati ya moyo wangu, nikupe nini uriodhike? Ningekupa ghorofa, lakini wapo wenye magorofa tisa, basi nitakupa maini yangu tuone ni tajiri gani mwenye maini tisa akuhonge

Buji*2 hii ni kali kuliko zote.
 
Kama ndivyo basi Chuo kikuu cha ustawi wa jamii nao wampe shahada bi mkubwa Sophia Simba kwa kuhamasisha wanawake kuwanyima unyumba waume zao.
 
Jamani tufanye utafit kidogo tunaweza kupata baadhi ya majibu. ingia kwenye wesite ya chuo kikuu huria tafuteni prospectus then angalia kama wanatoa MA political science. Majibu utakayoyapata yanaweza toa mwanga japo kwa mbali kwamba why Lukuvi yupo peke yake kwenye list graduants katika shahada hiyo.
 
Ruksa anastahili sana hizo PhD za kupewa kuliko huyu kanjanja wa Magogoni. Namheshimu Ruksa kwasababu katika uongozi wake ndipo nilipoanza kuvaa nguo za dukani kama suruali za Michael Jackson, Zicco na mchele-mchele.

I see, umenikumbusha mbali sana mkuu...
 
Jamani tufanye utafit kidogo tunaweza kupata baadhi ya majibu. ingia kwenye wesite ya chuo kikuu huria tafuteni prospectus then angalia kama wanatoa MA political science. Majibu utakayoyapata yanaweza toa mwanga japo kwa mbali kwamba why Lukuvi yupo peke yake kwenye list graduants katika shahada hiyo.

Kwenye prospectus ya OUT hakuna MA Politicat science! jionee mwenyewe
Hizi ni higher degree programmes kwenye Faculty of Arts and Social Science ambako ndiko hiyo MA ya lukuvu inatakiwa kuwa!

Labda hiyo programme alitengenezewa yake
zaidi bofya http://www.out.ac.tz/announcements/Prospectus 2011-2012 G1.pdfPROGRAMMES
The Faculty offers the following postgraduate studies programmes:
1.
MASTER OF ARTS DEGREE
1.1 There are two broad categories of Master of Arts Degrees:
1.1.1 Master of Arts Degree by Thesis
1.1.2 Master of Arts Degree by Coursework (currently not available).
1.2 The Master of Arts degrees to be offered by the faculty include:
i. M.A. in Linguistics - MA (Ling)
ii. M.A. in History - MA (Hist)
iii. M.A. in Geography - MA (Geogr)
iv. M.A. in Economics - MA (Econ)
v. Master of Community Economic Development by Course work
– with MA (CED)
vi. M.A. in Kiswahili. - MA (Kisw)
vii. M.A. in Tourism Studies MA (TS)
viii. M.A. Social Work - MA (SW)
1.3 Owing to some expected problems of staffing and other course management difficulties, there
is a likelihood that some of the courses shown above will be offered in alternate years.
1.4 Minimum Entry Qualifications
These will be as specified in the General Regulations Governing Masters Degrees.
1.5 Registration
1.5.1 Candidates will be registered to the distance M.A. degree by either coursework study followed
by research leading to a dissertation: or by
1.5.2 Research leading to a thesis without a prescribed coursework component.
1.5.3 A candidate intending to do his/her M.A. by thesis will have to abide by the following
procedures:
•
Register as a provisional student after satisfying the admission requirements for the
programme;
•
Submit an acceptable statement of a research topic to the faculty to obtain stage I
registration;
•
Acquire full registration (stage II) after submitting within a period of nine months a
proposal approved by the Faculty Board, Postgraduate Studies Committee and
Senate;
•
Seek registration within three months after the application for stage II is approved by
the Senate.
1.5.4 Candidates registered for the Master's degree programme
by thesis research, may on
recommendation of the faculty be required to undertake some formal courses relevant to their
subjects of study.
1.5.5 A
thesis candidate shall upon admission be assigned a supervisor(s) appointed by the Senate
on recommendation of the faculty. The supervisor(s) will be responsible for guiding the
candidate in his or her research and shall periodically submit reports on the candidate's
progress.
1.5.6 Candidates registered for the coursework and dissertation programme shall proceed to the
M.A. after they have successfully completed the coursework
 
Back
Top Bottom