Kupinga ushoga kwainyima misaada uganda

babad

Member
Feb 9, 2011
95
13
Wana JF Leo asubuhi nimesikia taarifa kwenye baadhi ya vyombo vya habari kwamba kuna msaada wa fedha umetolewa pungufu kwa uganda baada ya wanaopigania suala la ushoga kuweka vizuizi kimyakimya,naomba kujua ukweli wake
 
Ni kweli Uganda wamenyimwa msaada lakini sidhani kama kuna uhusiano
wowote na kupinga ushoga. na kama ni hivyo hawa wazungu watakuwa
wanajenga chuki kubwa kwa Waafrika. Wasidhani tutaendelea kuwavumilia
siku zote...
 
Inauhusiano moja kwa moja na ushoga. Shirika la global fund limesema, Uganda inanyanyasa makundi madogo madogo likiwemo mashoga.

Cameron hakutania kaka, geuzwa upate msaada...Cameron way!
 
Unaona sasa,yujiandae Tanzania sijui kama tuko mbali hadi kufikiwa na katiba yetu ndo hiyo tena
 
Back
Top Bottom