Ukubwa wa nchi kijiografia eti ndio sababu ya miundombinu duni ni uelewa mdogo na katiba mbovu

nyonki

New Member
Nov 17, 2011
1
0
[h=6]Katiba inaweka sharti la kiwango cha elimu kwa viongozi: kwamba KIONGOZI WA KITAIFA SHARTI AWE ANAJUA KUSOMA, KUANDIKA NA KUHESABU TU TENA KWA KISWAHLI...!!! waziri mkuu MIZENGO PETER PINDA akizindua ujenzi wa barabara ya dodoma-gawaye 45km anasema sisi barabara zetu haziwezi kua sawa na za nchi ndogo eti nchi kama Rwanda ni sawa na mkoa wake wa Rukwa hivyo wenyewe ni rahisi kujenga; yaani anajutia Tanzania kua na eneo kubwa(vastness). pia MALECHELA (yule mzee) akisifia maendeleo ya miaka 50 ya uhuru kupitia TBC1 nae anasema hilohilo!!!! hivi hadithi hii inatufundisha nini watanzania wenzangu???? IDD AMIN alipoiteka Kagera si tungemwachia tu kumbe eeh!!? ama akitokea mlanguzi wa kuknunua eneo la nchi hii...hawa jamaa hawatapunguza "mzigo' kweli!!?...leo amekuja LUSINDE (mbunge-CCM, MTERA) anasema kikwete aongezewe miaka mingine baada ya kumaliza this 5years tenure...huyu atakua na wazo gani kwenye katiba tutakayounda unafkiri??? sasa, KWA HUU MUSWADA WA LEO; CCM WANACHUMA JANGA NA SIJUI WATAKULA NA NANI...WEWEE, MIIMI?![/h]
 
Hivi Tanzania na Afrika Kusini nchi ipi kubwa au Tz na Misri wapi kubwa....Lusinde kwa huwa anaongea vitu vya maana sijui Mtera waliji"tera" vipi kumchagua huyu jamaaa!
 
Back
Top Bottom