Katiba ni yetu wote kwanini itugombanishe??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba ni yetu wote kwanini itugombanishe???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkwawa, Nov 18, 2011.

 1. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  nijuavyo Katiba ni muongozo kwa ajili ya wananchi wote bila kujali chama cha siasa, dini kabila, nk kwa nini tunashindwa kujadiliana? Hii mivutano inatoka wapi. Kweli katiba ikiwa mbovu halafu akafanikiwa kuingia Ikulu Raisi kichaa tutaipenda?

  Je ni kweli wanachama wa CCM wanaipenda katiba iliyopo? Ni kweli kwamba wanachama wote wa CCM wanafurahishwa na katiba hii???
  Ni vyema JK akitambua kuwa hana muda mrefu kubakia Ikulu ila kina Rizone na watoto wao bado tunao sana, je anapenda kuwaachia nchi isiyotawalika wao na watoto wao???

  Ingekuwa vyema kama wazee wetu wangekumbuka kuwa Tanzania yenye amani ni pamoja na kukubali mabadiliko ya kweli ya dunia ya leo.
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Muongozo toka kwa nani?
   
 3. Mkwawa

  Mkwawa JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Katiba ni muongozo wa kisheria katika maisha ya kila siku. Inatakiwa itengenezwe na wananchi husika kutoka na mazingira ya nchi , tamaduni, uchumi nk. tujadiliane wote tunataka nini
   
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Hapo sasa tupo pamoja, ngoja nikajipange kwanza nitarudi baadaye kuchangia...
   
Loading...