Mapinduzi ya bunge njiani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi ya bunge njiani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Nov 18, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kuna kila dalili kuwa Bunge la Kumi likapinduliwa na kuitishwa uchaguzi Mkuu wa Bunge.Hii inatokana na kiburi kinachooneshwa na Wabunge pamoja na Spika wao kuendelea kuujadili Muswada wa Katiba wakati umma hauko tayari kwa hilo.Mambo hayo hayako mbali.CHADEMA,NCCR-Mageuzi,Jukwaa la Katiba na wanaharakati wengine hawatakuwa viongozi wa mapinduzi hayo.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Analysis ya Kilabuni wanakouza UGIMBI
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mapinduzi enhh?
  aya.sawa.
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Umepiga hodi???????????????????

  Join Date : 17th November 2011
  Posts : 1
  Rep Power : 0
   
 5. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  MNYWAJI wa ugimbi nini wewe? huo ndio ukweli...wait and see
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Suala langu ni la dharura sana.Hodi ingenichelewesha.Ni kama aliyeshikwa na tumbo la kuhara halafu akauona mlango wa msalani...akirudi ndo atasalimu
  <br>
  <br>
   
 7. y

  yaya JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, karibu sana jamvini kwa great thinkers. Naona umeuanza upya wako kwa thread ya ajabu! Kwa katiba ya TZ, bunge huwa halipinduliwi, bali huvunjwa na uongozi wa juu kabisa (Rais) au kwa mujibu wa sheria angalia Ibara ya 65, na 90(2),(3) na (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2005. Kwa kukusaidia angalia uk. 61 na uk. 81-82. Pole sana, mwanzo siku zote huwa ni mgumu.
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Nilitaka kuchangia huu uzi lakini nimeghairi, baada ya kuhisi harufu kali ya maziwa yakiambatana na uzi huu!
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jenga hoja na siyo kupost vitu ambavyo havieleweki ukadhani utakuwa supported.
   
 10. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  mmh....napita hapa
   
 11. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 641
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Leo kiongozi kutoka magogoni ataongea na wazee wa Dar. Huenda akalivunja rasmi maana halina tija na limekosa mwelekeo.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  hebu post join date yake tujue kama ni junior
   
 13. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Mapinduzi Ndugu hayafuati Sheria.Katiba itaangalia tu mambo yakifanyika bila msaada wa Ibara ulizozitaja.
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  umeandika kama umetoka ulevini hujaelewaka vema
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  sijaona point pengine ulikuwa nayo umeshindwa kuiwakilisha vizuri
   
 16. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni ushauri tuu kwa wana JF
  usimdharau usiemjuaa
  usikibeze usichokielewa
  na ugeni wa mtu hapa jukwaani isiwe kipimo cha mada yake.
  na pia ukiona mada huna la kuchangia achana nayo.
  ni ushauri wangu tuu kwa wote waliobeza.
   
 17. y

  yaya JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, kweli wewe ni mpya kiasi kwamba hata muundo wa utawala wa nchi huujui. Bunge kamwe haliwezi kupinduliwa, labda ulimaanisha serikali? Kweli kazi ipo. wahenga walisema "He who knows not, and knows not that he knows not, is a big simpleton". Pole sana
   
 18. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kwani mapinduzi ni nini? Kipi kinaweza kupinduliwa? Acha kuleta Uanasheria wako hapa.Kwanza mi Senior kuliko wewe.Soma vizuri hoja yake kabla hujaandika.Kila chombo cha Kikatiba chaweza kupinduliwa.Mapinduzi ni kusema:kuanzia sasa Katiba haitumiki yote au sehemu yake.Upo hapo? Kuwa makini kijana...
   
 19. g

  greenstar JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  poleni sana ,naona mnalumbana kama walevi.......Katiba itatengenezwa na Watanzania wenyewe bila kutumia vibaraka waKijerumani au Cameron
   
 20. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mh! mimi nalog OUT
   
Loading...