Je, una ujumbe kwa NCCR-Mageuzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, una ujumbe kwa NCCR-Mageuzi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Kahangwa, Nov 16, 2011.

 1. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wakuu,
  Kama kuna ambao wangependa kutoa ushauri, maoni na kadhalika kwa chama cha NCCR-Mageuzi, pamoja na kwamba thread hii inaweza kutumika, kuna blog yenye picha na takwimu ambapo comments zinakaribishwa. Hii hapa; NCCR-MAGEUZI : PAMOJA TUTASHINDA!
   
 2. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mwambie Mbatia aende kwa magamba ili akatumike vizuri, ni hilo tu
   
 3. M

  Makomu Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafurahi wanatambua umuhimu wa kuungana kwenye maslahi ya umma, walao wanaonyesha msimamo kama chama makini chadema
   
 4. M

  Manji Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fanyeni hima muhamie Chadema. Haileti tija kuwa nje wakati sera zenu zinafanana. Au na nyie ni Chadema-B?
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kama NCCR wakiendelea na maamuzi ya kuwajali umma wa watanzania kwa kukubali ya ya msingi ambayo wenzao wa chadema wamekuwa wakiyapigania wana nafasi ya kuja kuwa tena chama makini chenye nguvu kama hapo awali.
   
 6. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Msalimie Mbatia,wambie wache uroho wa madaraka chamani!
   
 7. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hongereni kwa uamuzi mliochukua wa kutoka nje ,sasa mmekuwa chadema B.
   
 8. m

  mwikumwiku Senior Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi sina maoni ila ninajambo ambalo naomba confirmation toka NCCR. Kunawakati niliwahi kusikia ikiwa ni pamoja kupata impresion kuwa NCCR ni NYUMBA ndogo ya CCM, hii baada ya kuhalalishwa kwa Nyumba kubwa, yaani CUF. Je ni lini NCCR wamejitoa kwenye hiyo political marital responsibility?
   
 9. m

  mwikumwiku Senior Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi sina maoni ila ninajambo ambalo naomba confirmation toka NCCR. Kunawakati niliwahi kusikia ikiwa ni pamoja kupata impresion kuwa NCCR ni NYUMBA ndogo ya CCM, hii ni baada ya kuhalalishwa kwa Nyumba kubwa, yaani CUF. Je ni lini NCCR wamejitoa kwenye hiyo political marital responsibility?
   
 10. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tumeomba ushauri, matusi tumeishasikia mengi
   
 11. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  • wavunje uchumba wao na CUF, TLP,UDP bungeni wajitegemee
  • migogoro inayowasumbua wakubali kufanya uchaguzi mpya kuanzia chini hadi juu
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mbatia aache mambo ya kike, afute ile kesi yake na halima mdee. Ushauri wangu ni huo tu!
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kahangwa

  muda muafaka wa mageuzi umewadia, mageuzi ambayo nccr-mageuzi imekuwa inafanya hayakuwa ya dhati na ya kweli,

  soma ramani mkuu, jitahidini kuepuka wivu na chuki kwa CDM ili muungane na kuleta mabadiliko

  You need typical and true reforms , first of all revise the brand name of your political party to reflect confidence and trust
   
 14. n

  ngwini JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi wa uongozi lini? nataka kugombea uenyekiti..CHD kuna Bavicha na CCM kuna UVCCM je umoja wa vijana NCCR unaitwaje na nani ni kiongoz?
   
 15. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  La msingi ni kuimarisha chama na Upinzani nchini, heko kwa kuungana na CDM kupinga katiba, inabidi kuondoa utwana katika chama Mbatia aachie nafasi kwa wengine waongoze chama, katika Blog yenu kuna picha nyingi za Kafulila kana kwamba yeye ndio mbunge pekee hiii haileti impression nzuri wekeni picha za wabunge wote na msichague
   
 16. George Kahangwa

  George Kahangwa Verified User

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 539
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Vuta subira, wakati ukifika utajulishwa kwa njia mbalimbali, lakini sharti uwe mwanachama hai. Umoja wa vijana wa chama upo. Unaitwa NCCR-Mageuzi Kitengo cha Vijana. kwa ufupi sema; NCCR- Vijana. Mwenyekiti wake ni mjumbe wa halmashauri kuu na ni mjumbe wa sekretarieti ya chama. Kwa sasa nafasi hiyo inashikiliwa na Mhe. Felix Mkosamali (Mb).
   
Loading...