Mh. Nahodha, ni kweli? Are we really SERIOUS? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Nahodha, ni kweli? Are we really SERIOUS?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bongolander, Nov 17, 2011.

 1. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Wakuu nimesikitishwa sana na kauli ya waziri wa mambo ya ndani. Nashindwa kuamini kama ni kweli ametoa kauli hii. Naweza kusema inafanana kiasi na ile ya Rais, ya kuwataka mafisadi warudishe fedha za serikali lakini amewasamehe. NI jambo la aibu sana, hasa tukizingatia uzito wa suala lenyewe. Inaonekana Uuhamiaji kuna watu wengi wenye uzalendo, lakini wanaofanya maamuzi ndio hawana uzalendo. Angalia hizi Excerpts mbili, halafu niambie kama kweli inaingia akilini mwako kuwachekea watu kama hao na kuwaacha kwenye ofisi za serikali. I wonder kama ni uongozi wa namna hii ndio tunaotaka. Jaribu kwenda chini kwa mtiririko huo huo, mkuu wa idara anakuta uozo anasema majina ninayo kwenye briecase, mkuu wa kitengo, hadi ngazi ya chini kabisa ikiwa hivyo ni sawa na kufanya mchezo.

  17 Nov 2011 Minister accuses them of `helping` illegal immigrants

  Home Affairs Minister, Shamsi Vuai Nahodha yesterday served one-month notice to eight immigration officers helping illegal immigrants involved in terrorism, drug trafficking, piracy and related crimes secure work permits.


  “I have received a list of eight names of police officers from the Immigration Unit who are involved in the issuance of permits to illegal immigrants…their names are in my briefcase, but I am giving them one-month to reform, before I take further measures against them,” he warned.
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Sasa jomba umesahau kazi tunapeana? sasa majina yenyewe ni wale wale Kidumu utafanya nini jomba?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  ndo kawaida
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu hamijei hawezi wizara hiyo bana
   
 5. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  stupid leaders they are afraid of their own shadows, maana viongozi wenzake wanafanya maovu naye ana maovu yake so anachofanya ni kuwapa mda wajirekebishe ili naye akija kamatwa apewe mda! Lakini wenye vijikesi vidogo ndo wahanga wa kwanza!
   
 6. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maji hufuata mkondo. Jk naye aliwasamehe wale wa EPA kwa namna hiyohiyo
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mnataka awe tofauti na bosi wake jamani!
   
 8. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  halafu alitaka kuwa rais wa visiwani
   
 9. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,401
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kwani unafikiri angeshindwa kuongoza upande ule? Kule mtu yoyote tu anaweza kuongoza, hata Tambwe Hiza angeweza sembuse huyu!
   
 10. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu mambo mengine ni common sense, hata mtoto anaweza kufanya. Unafahamu wazi kabisa tena unawaambia waandishi wa habari kuwa hata majina na idadi unayo halafu, unasema wajirekebishe. Sijui tunawafundisha nini watoto wetu wataokuja kuwa viongozi, sijui tunaweka precedent gani. Mkuu ni vigumu sana kuamini.
   
Loading...