Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,045
5,092
Hawa wabunge kweli mapovu yanawatoka. Wamejaa ubabe na mipasho. WASSIRA anafuata. Nitatoa updates
 
Jamani mimi siko chama chochote cha siasa ila hili ccm wanapotosha watu wananchi eleweni hawa wabunge wa ccm wanatumia muda mwingi kujipendekeza kwetu mimi nakumbuka chadema walisema wakiingia ikulu ndani ya siku mia wataanza mchakato wa katiba mpya si kuleta katiba mpya inshangaza sana wasira usitudanganye nyie jishangilieni siku inakuja mtalia
 
Kwa kweli nimechoka kusikiliza vijembe na kashfa zinazotolewa na wabunge wa ccm, nimechoka kunyima haki yangu ya kutoa maoni yangu juu ya mswada na mambo mengine, SITAKI KUSIKIA kitu chochote ZAID YA KUDAI HAKI yangu,[/QUOTE]
Naona umeandika kifacebook facebook
 
WASSIRA: Hii nchi ni yetu sote, wanaotaka kuichoma moto tutampeleka Milembe
 
Kwa kweli nimechoka kusikiliza vijembe na kashfa zinazotolewa na wabunge wa ccm, nimechoka kunyima haki yangu ya kutoa maoni yangu juu ya mswada na mambo mengine, SITAKI KUSIKIA kitu chochote ZAID YA KUDAI HAKI yangu,
Naona umeandika kifacebook facebook
 
Hivi huyu Wassira ndiyo kichwa pekee kilichobaki huko CCM au vipi?? Maana siku hizi naona kila kwenye jambo vyeti huwa anapewa nafasi ya kuongea yeye!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
MIPASHO TU! Na eti CDM wanapokea misaada yenye masharti ya ushoga
Kweli CDM wamewashika pabaya....watu wanasahau hata serikali yao inapokea misaada kutoka nchi hizohizo zinazohimiza ushoga. Naona kweli wameamua kuujadili muswada.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hivi huyu Wassira ndiyo kichwa pekee kilichobaki huko CCM au vipi?? Maana siku hizi naona kila kwenye jambo vyeti huwa anapewa nafasi ya kuongea yeye!!

Mkuu mi naona hii username yako ungempatia. Ha ha ha LOL!
 
Hivi huyu Wassira ndiyo kichwa pekee kilichobaki huko CCM au vipi?? Maana siku hizi naona kila kwenye jambo vyeti huwa anapewa nafasi ya kuongea yeye!!

baada ya yule mudhihili mudhihili huyu jamaa ndo kachuku nafasi yake...hawana lolote wapuuzi hawa..cha msingi ni kwamba wao waache wapitishe then sisi wananchi tuchukue maamzu yetu ili wajifunze kuwa nchi hii ni yetu sote ..kwanza asilimia kubwa ya hao kina wasira hawana mda mrefu ..wanataka tuwe na katiba ya ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom