Suala la katiba wabunge wa ccm msituletee siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suala la katiba wabunge wa ccm msituletee siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JERRY, Nov 18, 2011.

 1. J

  JERRY JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  NIKITAFAKARI MCHAKATO WA KATIBA JINSI UNAVYOENDELEA MCHAKATO WA KATIBA HAUPO TENA KWA WANACHI, MASKINI WATANZANIA HAWA WAMEBAKI WATAZAMAJI KAMA SIO MASHABIKI WA MITIZAMO YA KIVYAMA.

  KIUKWELI SERIKALI SIDHANI KAMA INA NA YA DHATI KUSIMAMIA MCHAKATO HUU BILA KUBEBWA NA U-CCM NA HOFU YA UCHADEMA.
  FRANKLY SPEAKING HAKUNA A CLEAR ROAD MAP INAYOTUONGOZA KTK MCHAKATO HUU ZAIDI YA USHABIKI WA KISISASA.IMEFIKIA MAHALI MCHAKATO HUU UNAHUSISHWA NA UCHAGUZI WA 2015. JE NI KWELI AU NDO HOFU YA CCM KUONA KWAMBA KATIBA ILIYOPO INAWABEBA BILA HATA YA KUMUHONGA REFA.

  SWALI!
  KINACHOWATISHA CCM MPAKA KUTAKA KUPINDISHA MCHAKATO WENYEWE HASWA NI NINI, KWANI KATIBA MPYA NI TIKETI YA WAO KUONDOLEWA MADARAKANI ? AU WHAT IS REALY BEHIND THE CURTAIN?
  KATIBA KWA TASFIRI YA HARAKA NI NAMNA JINSI WANACHI WAMEKUBALIANA WANAVYOTAKA WAISHI KTK NCHI YAO. HATA MH.DR.SALIM ANAVYOSEMA CCM NA CDM WAKAE WAPATANE KTK HILI NASHANGAA SANA. MAANA TAYARI SIASA IMEINGIA HAPO.
  JAMANI CHONDE CHONDE MSICHANGANYE MCHAKATO WA KATIBA NA ITIKADI ZA KISIASA, MAANA KUNA WANACHI WENGI TU KTK NCHI HII HAWANA UANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE KILE CHA SIASA.
  constitution process should encorporate a national consensus on all aspects of social issues and system of governance.
  msituletee siasa ktk hili. na hasa nyie wabunge wa ccm
   
Loading...