Hitimisho la Mjadala: Tundu Lisu aendelea kujadiliwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hitimisho la Mjadala: Tundu Lisu aendelea kujadiliwa.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by CtVKiLaZA, Nov 18, 2011.

 1. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hakuna jipya Mwanasheria Mkuu na Waziri wanarudia yale yale. Waendelea kumshambulia Lisu na CHADEMA.
   
 2. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Angalizo: Tundu anadoji vikao vya kamati.
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nadhani kuna haja ya Lisu kujibu hilo la utoro wa vikao vya Kamati kabla ya huu muswada kuletwa bungeni. Lakini pia wakuu unahitaji akili ya kijinijini kukaa na kujadiliana na mwehu, ni ngumu kweli jamani!
   
 4. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wote vilaza tu
   
 5. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nani?!
   
Loading...